Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hao viherehere watatu ndio Tanzania nzima? Una ushahidi wa kuonesha Magufuli aliwaua kwa mikono yake wazi?Mnaoimba uzuri wa M
agufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama umeuwa watu wako wote?
Je kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?