Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

Mnaoimba uzuri wa M
agufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama umeuwa watu wako wote?

Je kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?
Hao viherehere watatu ndio Tanzania nzima? Una ushahidi wa kuonesha Magufuli aliwaua kwa mikono yake wazi?
 
Mnaoimba uzuri wa M
agufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama umeuwa watu wako wote?

Je kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?
Huyo mzee aliwadobora hasa,mpaka leo mnajinyea hovyo tu
 
Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu?

J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?

Familia ya Magufuli imesikitika kumpoteza mpendwa wao bora wao wanaona hata kaburi je familia ya Ben na Azory hazihitaji kujua majaliwa ya baba zao?
Wakikuonyesha nitag.
 
JPM aliwatia vidole sana hamuwezi kumsahau
Kwa hiyo watanzania wako sahihi wamapolalamika. Sio kosa la Magufooli ila ni tabia ya chama. Kwa hiyo tukisema na chama kinamilikiwa na MADICTETA Kuna ubaya gani?

Ilq Kuna muda, siku na nyakati Siri zitafichuka, ndugu za hao watu watawatafuta wabaya wao barabarani. Jinai haifutiki na sio kwamba watu hawajui, watu wanajua lakini wasemee wapi?

Mahakama imekuwa Kama ya familia. Laana zilizofanyika nyuma zitawamaliza.
 
Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu?

J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?

Familia ya Magufuli imesikitika kumpoteza mpendwa wao bora wao wanaona hata kaburi je familia ya Ben na Azory hazihitaji kujua majaliwa ya baba zao?
Leo umeamka na njaa yako na mzimu wa Magufuli nao umegoma kuacha kukutesa!

Mtateseka sana!
 
Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu?

J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?

Familia ya Magufuli imesikitika kumpoteza mpendwa wao bora wao wanaona hata kaburi je familia ya Ben na Azory hazihitaji kujua majaliwa ya baba zao?

Duh
 
Sababu zangu ni hizi na nikikujibu zipinge kwa hoja.
1. Kauli yake nusu saa kabla ya shambulio itamhukumu milele.Alimwambia ndugai bungeni Wana kinga watoe nje nitadili nao aaa moja baadae Lisu anakula chuma.
2. Kukataa uchunguzi huru kama yeye sio mhusika kwanini haruhuru wachunguzi huru?
3. Kufukuzwa ubunge kikatili na kunyimwa stahiki zake na matibabu.
4. Nani mwenye uwezo wa kubadili police wa zamu za ulinzi kwenye makao ya viongozi? Hivi police wakiondolewa kwa makusudi kwenye lindo bank halafu bank ikaibiwa utasemaje?
Sababu juu ya saa 8 ndo hizi?
 
Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu?

J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?

Familia ya Magufuli imesikitika kumpoteza mpendwa wao bora wao wanaona hata kaburi je familia ya Ben na Azory hazihitaji kujua majaliwa ya baba zao?
Subiri kesi ya Lisu ikiianza uwende ukatoe ushahidi kuwa alipigwa risasi na JPM

Inaonekana wewe utafaa sana kuisadia polisi maana unajua mambo mengi sana
 
Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu?

J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?

Familia ya Magufuli imesikitika kumpoteza mpendwa wao bora wao wanaona hata kaburi je familia ya Ben na Azory hazihitaji kujua majaliwa ya baba zao?
Kamuulize Ziro hujui alipo??

Kama Yuko mbali muulize aliyekuwa Makamo wa magu!!!

Kwann uoneshwe makaburi na wanaokumbuka MAZURI ya Magu?

Sisi tunamkumbuka Kwa mengi MAZURI alifanya baaas. Mabaya yake atamalizana na Muumba wake.

Yaani ntasahau vp petrol iliwahi uzwa 1800 ktk utawala wake!!!
 
Kamuulize Ziro hujui alipo??

Kama Yuko mbali muulize aliyekuwa Makamo wake!!!

Kwann uoneshwe makaburi na wanaokumbuka MAZURI ya Magu?

Sisi tunamkumbuka Kwa mengi MAZURI alifanya baaas. Mabaya yake atamalizana na Muumba wake.

Yaani ntasahau vp petrol iliwahi uzwa 1800 ktk utawala wake!!!
Hayo ya mwendazake labda tumuulize Sabaaya, Makonda na Msiba. Angefanya maziri hizi sura zingejipaka majivu usoni kubadilii sura zao? CCM inawatesa watanzania kwa roho mbaya.

Kwani serikali I'mebadilika au? Leo hii chakula ni being gani? Je kila mtanzania anauwezo was kununua hicho chakula?

Nyinyi ndiyo mnalazimisha michango ya tozo mkalishe familia zenu.

Nuiny
 
Mzimu wa JPM utaendelea kuwatafuna, Mpaka mfe ndio itakuwa mwisho wa kumtaja
.
JamiiForums181526966_187x187.jpg

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu?

J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?

Familia ya Magufuli imesikitika kumpoteza mpendwa wao bora wao wanaona hata kaburi je familia ya Ben na Azory hazihitaji kujua majaliwa ya baba zao?
We kiazi kweli, hayo makaburi ya hao unaowataka kawaulize watunza makaburi wakuonyeshe usituulize sisi, kwani una uhakika gani kama wamekufa?
 
Back
Top Bottom