Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #201
Huna akili.Hivi Ditopile naye alikuwa mtu wa Magufuli?
Mkuu una akili timamu? Yaani utumwe ibaki chenji halafu ukaushie ikiombwa na mwenye nayo umuone mnoko?Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Watanzania wengi wanapenda vya bure. Na tabia za wizi ndio zinaanzaga na kuficha chenji.Aiseee wa Tz noma
Sasa kudai chenji ni Roho mbaya,
Hii maarifa ya nyumbani siyo sayansi ya kimaHi sayansi kimu,umeisomea wapi mwana biology?
Bado kuna wafuasi wakè wanaumià kuona matajiri wanakula mema ya nchi.Unfortunately matajiri bado wanakula mema ya nchi, jiwe kaoza na wao wangali bago maskini
Sasa nimeamini ccm haina shida ila ipo kwa wajinga kama mwamuzi wa Tanzania...Huna akili.
Nimetolea mfano kuwa mifumo ya nchi hii ilivyo jinsi ya kiongozi itahesabika jinai ikiwa tu imetendeka hadharani mahali ambapo haokufichika. Ditopile alikuwa arrested kwakuwa alitenda hadharani.
Magufuli uuaji na utekaji alianza akiwa waziri. Hakushikwa kwakuwa alikuwa kiongozi. Maskini wewe Baba Kisarii ukiua lazima udakwe na unyee debe hata kama uliua gizani bila mtu kushuhudia
Njoo nikufundishe bila malipo.Acha ujinga wewe nenda shule upunguze ujinga.
Kabisa mkuu Magufuli ni mwana magezi mkubwa kuwahi kutokea Tanzania kafanya mengi mno mfano alianza kutokomeza mifuko ya rambo, pombe za kwenye viroba, simu feki hatimaye watumishi hewa.Yule aliyeasisi mfumo wa watumishi hewa /kughushi vyeti ndiye aliharibu kabisa na ndiye wa kulaumiwa muda wote maana yupo hai hadi leo hii.
JPM atakumbukwa kwa ujasiri wake hakuchaka na wahuni kabisa.