Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

Hivi Ditopile naye alikuwa mtu wa Magufuli?
Huna akili.
Nimetolea mfano kuwa mifumo ya nchi hii ilivyo jinsi ya kiongozi itahesabika jinai ikiwa tu imetendeka hadharani mahali ambapo haokufichika. Ditopile alikuwa arrested kwakuwa alitenda hadharani.
Magufuli uuaji na utekaji alianza akiwa waziri. Hakushikwa kwakuwa alikuwa kiongozi. Maskini wewe Baba Kisarii ukiua lazima udakwe na unyee debe hata kama uliua gizani bila mtu kushuhudia
 
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Mkuu una akili timamu? Yaani utumwe ibaki chenji halafu ukaushie ikiombwa na mwenye nayo umuone mnoko?
Kama unashida na hela omba ukiwa mwaminifu kwenye kidogo hata kwenye kikubwa utakuwa hivyo na ukiwa sio mwaminifu kwa kidogo basi hata kwa kikubwa utaiba tu.

Nimelelewa kuwa mwaminifu hivyo jpm yupo sawa kudai hela yake hata kama ni mia maana ni haki yaki na sio yako
 
Unfortunately matajiri bado wanakula mema ya nchi, jiwe kaoza na wao wangali bago maskini
Bado kuna wafuasi wakè wanaumià kuona matajiri wanakula mema ya nchi.
Wao wamechagua ajira, lakini mjasiliamali akijituma anaitwa fisadi kwakuwa ndivyo walivyo aminishwa.bna Mungu wao.
 
Huna akili.
Nimetolea mfano kuwa mifumo ya nchi hii ilivyo jinsi ya kiongozi itahesabika jinai ikiwa tu imetendeka hadharani mahali ambapo haokufichika. Ditopile alikuwa arrested kwakuwa alitenda hadharani.
Magufuli uuaji na utekaji alianza akiwa waziri. Hakushikwa kwakuwa alikuwa kiongozi. Maskini wewe Baba Kisarii ukiua lazima udakwe na unyee debe hata kama uliua gizani bila mtu kushuhudia
Sasa nimeamini ccm haina shida ila ipo kwa wajinga kama mwamuzi wa Tanzania...

Ujinga ulionao ndio umekufikisha hapo ulipo
 
Ukute huyu mtoa mada ndio Dereva mwenyewe....Alikuwa anabania vichenge vya Mwamba
 
Yule aliyeasisi mfumo wa watumishi hewa /kughushi vyeti ndiye aliharibu kabisa na ndiye wa kulaumiwa muda wote maana yupo hai hadi leo hii.

JPM atakumbukwa kwa ujasiri wake hakuchaka na wahuni kabisa.
Kabisa mkuu Magufuli ni mwana magezi mkubwa kuwahi kutokea Tanzania kafanya mengi mno mfano alianza kutokomeza mifuko ya rambo, pombe za kwenye viroba, simu feki hatimaye watumishi hewa.
Yule jamaa aliyeasisi watumishi hewa anastahilí kulaumiwa pakubwa mno.
 
Kumsema marehemu huo nao ni upungufu wa akili nenda milembe ukatibiwe
 
Judgement of Solomon

Uhitaji kumjua Magufuli personal kuelewa alikuwa mtu gani. Huruma wake kwa wanyonge, ucha mungu, mapenzi yake kwa Tanzania.

Kwa tabia zake ni tosha kukwambia mwamba alikuwa ni mtu wa aina.

Hizo hadithi zenu ni kujitekenya na kucheka wenyewe. Magufuli alikuwa mtu bora na muoga wa muumba wake, hawezi kuuwa hovyo. Ni sampuli ya watu kama nyie ambao mmezoea kutoa watu kafara kwa sababu ya nafasi za uongozi na kupata mali mnadhani kwa kila mtu kuuwa ni jambo rahisi.

Liko wazi mleta mada na Magufuli wakigombania mtoto, mleta mada akipewa option ya mtoto kukatwa nusu wala hatosita kukubali.

Ni watu waliozoea kuitafuna Tanzania peke yao na kugawa rasimali hovyo kama wanavyofanya sasa. Hiyo ndio nchi wanayoitaka.

R.I.P Magufuli
 
Wakenya ni wasomi, walitaka JPM awe raisi wao, sisi tunamponda kwa weledi wetu mdogo wa kufikiria.
 
Back
Top Bottom