Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Habari Tanzania,
Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa kuwa wahitimu wa taifa la Tanzania.
Mnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya mazungumzo na wahitimu.
Hii pia inaweza kuwa platform ya chanzo cha ajira hapa nchini.
Karibu kwa mchango wako.