winlicious
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,006
- 1,151
Hili nalo mkalitazame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani sasa hivi hawali havai,kwahiyo furaha yenu nikuwaona wako vitandani wamelazwa au, kile kidogo wanachopata wanachangishana na kuandaa hako ka festivalsyaani huna hela umechalala bado unaandaa festival? si mtaonekana mna hela za kuchezea na kulia kwenu ni bure
Sawa mkuu tuko pamoja na tuendelee kujenga nchi.karibu sana mkuu, ukisoma hoja zangu pale juu utaona sibishani na mtoa mada ila najaribu kushirikiana nae kuboresha wazo wake. Sisi wote lengo letu ni moja tunatofautiana tu njia na mawazo ya kulifikia
Bila shaka wewe ni mnufaika wa huu mfumo mbovu wa Ma CCM na viunga vyakeMzee mwenzangu unatumia nguvu kubwa sana kuutetea huu upuuzi uliouwaza na kuuweka hapa jukwaani, nikuulize swali hao wahitimu wa SAUT, MWEKA na vyuo vingine nchini hawakutani mitaani kwao??? wamewaza kufanya nini cha kujiondoa kwenye ujobless?? au wahitimu unaowaongelea hawaishi nchii hii?? usitumie nguvu kubwa kutetea huu upuuzi MJOMBA
sawa mkuu, kila la kheri kwa mtoa madaitasaidia we tatizo lako nini wacha waungane waandae jobless festivals, najua mlivyo waoga hamchelewi kukimbilia kusema wataleta taharuki
Hata kidogo, tena mimi niko kinyume nao zaidi hata yaa hiyo kinyume yenyeweBila shaka wewe ni mnufaika wa huu mfumo mbovu wa Ma CCM na viunga vyake
Sawa mkuu tuko pamoja na tuendelee kujenga nchi.
Tupo pamojaSawa mkuu tuko pamoja na tuendelee kujenga nchi.
Tutawachangia kama wanavyotupiga mizinga mwingine, hili litakuwa na mashiko wakipiga zinga.Hofu ni kwamba,serikali usije na hosa Hawa ni wapinzani.!kwani sasa hivi hawali havai,kwahiyo furaha yenu nikuwaona wako vitandani wamelazwa au, kile kidogo wanachopata wanachangishana na kuandaa hako ka festivals
Hoja nzr lakn watawezaHii itasaidia waajiri kupata watu wanaowahitaji sehemu sahihi. Wapo vijana katika hili wanaweza kujiongeza kuanzisha biashara ndogo mfano uuzaji maji, vinywaji lainishi na vitafunwa.
Kongamano hili litaweza kuwaleta Graduates wa vyuo pamoja. Mfano; UDSM au SAUT au MWEKA wataweza kuweka umoja wao na kuwasiliana na vyuo vyao moja kwa moja walivyotoka kuhitimu wakawapa msaada wa kimawazo au network ya mambo mbalimbali.
😀😀😀 nimeipenda iyo samia jobless festivalNyingi ili zipate nguvu na supporters ni lazima ziandikwe hivi
SAMIA JOBLESS FESTIVAL au
SAMIA JOBLESS AWARDS
Hapo mpaka bank kuu na hazina watatia mkono ku-support
Pole. Hii sio mchango mzuri kwa taifa brother.Serikali ije na mpango mkakati wa kuwakusanya hao ' jobless graduates' na kuwaua wote, hatuwezi kuwa na Taifa la wasomi uchwara namna hii.
Unaonaje hizi Technology zikitumika kuhamasisha hao vijana waweze kufikiwa kwa uharaka katika kupashwa habari ili wajiongeze katika maisha yao.Nimesema hivi na narudia tena, Tupo kwenye Dunia ya Technolojia na utandawazi, watu wanajipatia vipato na wengine wanakuwa matajiri kwa kutumia vzuri technolojia na mitandano, Ingeanzishwa Jobless forums ambapo watu mbalimbali washare idea zao za ubunifu na ujasiriamali ambazo mtu yoyote anaweza kuzifanya na kujiingizia kipato.
Hii atleast inaweza kupunguza majobless waliopo, lakini pia mmeona saizi vijana wengi wadogo wamejiajiri kupitia social media contents za wanaishi vizuri, Tujikita huku tunaweza punguza Ujobless kwa kiasi kikubwa
Vijana wanaweza wezeshwa kwa zawadi kwa mkoa uliofanya vizuri "Bongo Festival" yao wakapewa zawadi ya fedha na vifaa kwa ajili ya kuwawezesha kujikwamua kiuchumi na kupunguza gap la ukosefu wa ajira nchini.Habari Tanzania,
Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa kuwa wahitimu wa taifa la Tanzania.
Mnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya mazungumzo na wahitimu.
Hii pia inaweza kuwa platform ya chanzo cha ajira hapa nchini.
Karibu kwa mchango wako.