Nimesema hivi na narudia tena, Tupo kwenye Dunia ya Technolojia na utandawazi, watu wanajipatia vipato na wengine wanakuwa matajiri kwa kutumia vzuri technolojia na mitandano, Ingeanzishwa Jobless forums ambapo watu mbalimbali washare idea zao za ubunifu na ujasiriamali ambazo mtu yoyote anaweza kuzifanya na kujiingizia kipato.
Hii atleast inaweza kupunguza majobless waliopo, lakini pia mmeona saizi vijana wengi wadogo wamejiajiri kupitia social media contents za wanaishi vizuri, Tujikita huku tunaweza punguza Ujobless kwa kiasi kikubwa