Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
- Thread starter
- #21
Hii itasaidia waajiri kupata watu wanaowahitaji sehemu sahihi. Wapo vijana katika hili wanaweza kujiongeza kuanzisha biashara ndogo mfano uuzaji maji, vinywaji lainishi na vitafunwa.Aiseee watatishia aman ya nch ila 🤣🤣🤣 dah!
Kongamano hili litaweza kuwaleta Graduates wa vyuo pamoja. Mfano; UDSM au SAUT au MWEKA wataweza kuweka umoja wao na kuwasiliana na vyuo vyao moja kwa moja walivyotoka kuhitimu wakawapa msaada wa kimawazo au network ya mambo mbalimbali.