Mnaonaje graduates wote ambao hamna ajira mkaja na Bongo Jobless Festival?

Mnaonaje graduates wote ambao hamna ajira mkaja na Bongo Jobless Festival?

Mzee mwenzangu unatumia nguvu kubwa sana kuutetea huu upuuzi uliouwaza na kuuweka hapa jukwaani, nikuulize swali hao wahitimu wa SAUT, MWEKA na vyuo vingine nchini hawakutani mitaani kwao??? wamewaza kufanya nini cha kujiondoa kwenye ujobless?? au wahitimu unaowaongelea hawaishi nchii hii?? usitumie nguvu kubwa kutetea huu upuuzi MJOMBA
Bila shaka wewe ni mnufaika wa huu mfumo mbovu wa Ma CCM na viunga vyake
 
kwani sasa hivi hawali havai,kwahiyo furaha yenu nikuwaona wako vitandani wamelazwa au, kile kidogo wanachopata wanachangishana na kuandaa hako ka festivals
Tutawachangia kama wanavyotupiga mizinga mwingine, hili litakuwa na mashiko wakipiga zinga.Hofu ni kwamba,serikali usije na hosa Hawa ni wapinzani.!
 
Serikali ije na mpango mkakati wa kuwakusanya hao ' jobless graduates' na kuwaua wote, hatuwezi kuwa na Taifa la wasomi uchwara namna hii.
 
Hii itasaidia waajiri kupata watu wanaowahitaji sehemu sahihi. Wapo vijana katika hili wanaweza kujiongeza kuanzisha biashara ndogo mfano uuzaji maji, vinywaji lainishi na vitafunwa.

Kongamano hili litaweza kuwaleta Graduates wa vyuo pamoja. Mfano; UDSM au SAUT au MWEKA wataweza kuweka umoja wao na kuwasiliana na vyuo vyao moja kwa moja walivyotoka kuhitimu wakawapa msaada wa kimawazo au network ya mambo mbalimbali.
Hoja nzr lakn wataweza
 
Nyingi ili zipate nguvu na supporters ni lazima ziandikwe hivi

SAMIA JOBLESS FESTIVAL au

SAMIA JOBLESS AWARDS

Hapo mpaka bank kuu na hazina watatia mkono ku-support
😀😀😀 nimeipenda iyo samia jobless festival
 
Ndugu
Serikali ije na mpango mkakati wa kuwakusanya hao ' jobless graduates' na kuwaua wote, hatuwezi kuwa na Taifa la wasomi uchwara namna hii.
Pole. Hii sio mchango mzuri kwa taifa brother.
Ukijua Geography ya hii nchi, maisha ya Mtanzania kwa ujumla. Utakuja na jibu kuwa maisha hayapo sawa kama ilivyo kwa watu wengi wanavyohisi. Wapo ambao ni Graduates wamekulia life la shida A to Z. Game ya ajira ni changamoto kwao.
Tuwasaidie.
 
Nimesema hivi na narudia tena, Tupo kwenye Dunia ya Technolojia na utandawazi, watu wanajipatia vipato na wengine wanakuwa matajiri kwa kutumia vzuri technolojia na mitandano, Ingeanzishwa Jobless forums ambapo watu mbalimbali washare idea zao za ubunifu na ujasiriamali ambazo mtu yoyote anaweza kuzifanya na kujiingizia kipato.

Hii atleast inaweza kupunguza majobless waliopo, lakini pia mmeona saizi vijana wengi wadogo wamejiajiri kupitia social media contents za wanaishi vizuri, Tujikita huku tunaweza punguza Ujobless kwa kiasi kikubwa
Unaonaje hizi Technology zikitumika kuhamasisha hao vijana waweze kufikiwa kwa uharaka katika kupashwa habari ili wajiongeze katika maisha yao.
 
Habari Tanzania,

Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa kuwa wahitimu wa taifa la Tanzania.

Mnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya mazungumzo na wahitimu.

Hii pia inaweza kuwa platform ya chanzo cha ajira hapa nchini.

Karibu kwa mchango wako.
Vijana wanaweza wezeshwa kwa zawadi kwa mkoa uliofanya vizuri "Bongo Festival" yao wakapewa zawadi ya fedha na vifaa kwa ajili ya kuwawezesha kujikwamua kiuchumi na kupunguza gap la ukosefu wa ajira nchini.
 
Back
Top Bottom