Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Wakijiwekea akiba au kuomba msaada toka kwa ndugu au jamaa wanaweza wezeshwa na wakapata mafanikio.Nauli hawana
Moja ya mawazo ya kipuuzi nimewahi yasoma hapa JF, hili wazo halitofautiani na wazo la kusema niite vijana wenzangu wengi tuanzishe kikundi cha kwaya badala ya kuwaza kuunda vikundi vya kujikwamua kiuchumiHabari Tanzania,
Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa kuwa wahitimu wa taifa la Tanzania.
Mnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya mazungumzo na wahitimu.
Hii pia inaweza kuwa platform ya chanzo cha ajira hapa nchini.
Karibu kwa mchango wako.
Habari Tanzania,

Nyingi ili zipate nguvu na supporters ni lazima ziandikwe hiviMnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya mazungumzo na wahitimu.
Aiseee watatishia aman ya nch ila 🤣🤣🤣 dah!Habari Tanzania,
Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa kuwa wahitimu wa taifa la Tanzania.
Mnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya mazungumzo na wahitimu.
Hii pia inaweza kuwa platform ya chanzo cha ajira hapa nchini.
Karibu kwa mchango wako.
Halafu mbaya zaidi walio juu wamenuna balaa yaan sio poa wanawaogopa madogo wanaokuja watachukua ugali wao kwa hio ni mwendo wa kubanianaKatika watu wamevurugwa ni wahitimu mtu kamaliza degree ya ualimu anaendesha bodaboda
Mtu kamaliza degree ya uhasibu anapiga isue za mijengo saidia fundi
Kichekesho ni kuwa Kuna dogo wangu Fulani amemaliza degree ya pharmacy amekosa kazi kaenda kujifunza kushona cherehani yaani mtu anapoteza miaka zaidi ya 20 kusoma halafu anakuja kugundua fani ndio inakusadia sio professional
Tanzania Kuna tatizo kubwa kuanzia serikali wasomi wanaoabdaa course za vyuo na walimu wanao andaa wanafunzi
Kiufupi tupo kwenye nchi ambayo hatujui tunataka Nini!!
Wewe mwenye mawazo mazuri ndio utoe mchango wako hapa. Hii ni wazo tu linaweza kuwa sawa au kuonekana kuwa na mapungufu.Moja ya mawazo ya kipuuzi nimewahi yasoma hapa JF, hili wazo halitofautiani na wazo la kusema niite vijana wenzangu wengi tuanzishe kikundi cha kwaya badala ya kuwaza kuunda vikundi vya kujikwamua kiuchumi
Kama kujikwamua kiuchumi kumeshindikana ni bora zaidi kuungana kuimba kwayaMoja ya mawazo ya kipuuzi nimewahi yasoma hapa JF, hili wazo halitofautiani na wazo la kusema niite vijana wenzangu wengi tuanzishe kikundi cha kwaya badala ya kuwaza kuunda vikundi vya kujikwamua kiuchumi
Katika hao jobless
Serikali itafute vijana smart Kama alivyo diamond wawezeshwe na kupewa facilities
Then hao vijana wataajiri wenzao wengi .
Kuliko kusema unawapa kikundi cha watu hela mwisho wanaishia kulewa n.k
Hili wazo ntakuja kuliandikia pendekezo
Ungesema labda kuwe na jobless forums kwa magroup ambapo watu wanashare idea za ubunifu na ujasiriamali ambazo mtu yoyote anaweza kuzifanya na kujiingizia kipatoWewe mwenye mawazo mazuri ndio utoe mchango wako hapa. Hii ni wazo tu linaweza kuwa sawa au kuonekana kuwa na mapungufu.
Uwekaji wako wa mawazo ndio chachu ya wazo bora.
Nimependa ushauri wako.
Karibu.
Kuimba kwaya kunalipa kodi au kunakullisha kwa kuimba kwa vikundi?Kama kujikwamua kiuchumi kumeshindikana ni bora zaidi kuungana kuimba kwaya
Maanina, aliyeturoga kafaNyingi ili zipate nguvu na supporters ni lazima ziandikwe hivi
SAMIA JOBLESS FESTIVAL au
SAMIA JOBLESS AWARDS
Hapo mpaka bank kuu na hazina watatia mkono ku-support