Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
- Thread starter
-
- #21
Hii itasaidia waajiri kupata watu wanaowahitaji sehemu sahihi. Wapo vijana katika hili wanaweza kujiongeza kuanzisha biashara ndogo mfano uuzaji maji, vinywaji lainishi na vitafunwa.Aiseee watatishia aman ya nch ila π€£π€£π€£ dah!
Katika majobless 100k utajuaje huyu nismart kuliko wenzie ili umuwezeshe?? wakati hata katika vyama vya siasa wengine wapo upinzani kutngeneza jina baadae waje wale mema ya nchi MCCKatika hao jobless
Serikali itafute vijana smart Kama alivyo diamond wawezeshwe na kupewa facilities
Then hao vijana wataajiri wenzao wengi .
Kuliko kusema unawapa kikundi cha watu hela mwisho wanaishia kulewa n.k
Hili wazo ntakuja kuliandikia pendekezo
Bila hivyo hupati kitu utaishia huko huko mkono mtupu haulambwi kwa hio mkononi mjaze ujazeMaanina, aliyeturoga kafa
Mzee mwenzangu unatumia nguvu kubwa sana kuutetea huu upuuzi uliouwaza na kuuweka hapa jukwaani, nikuulize swali hao wahitimu wa SAUT, MWEKA na vyuo vingine nchini hawakutani mitaani kwao??? wamewaza kufanya nini cha kujiondoa kwenye ujobless?? au wahitimu unaowaongelea hawaishi nchii hii?? usitumie nguvu kubwa kutetea huu upuuzi MJOMBAHii itasaidia waajiri kupata watu wanaowahitaji sehemu sahihi. Wapo vijana katika hili wanaweza kujiongeza kuanzisha biashara ndogo mfano uuzaji maji, vinywaji lainishi na vitafunwa.
Kongamano hili litaweza kuwaleta Graduates wa vyuo pamoja. Mfano; UDSM au SAUT au MWEKA wataweza kuweka umoja wao na kuwasiliana na vyuo vyao moja kwa moja walivyotoka kuhitimu wakawapa msaada wa kimawazo au network ya mambo mbalimbali.
Ni upuuzi sanaBila hivyo hupati kitu utaishia huko huko mkono mtupu haulambwi kwa hio mkononi mjaze ujaze
Kukaa nyumbani tu au kijiweni hakulipi kodi pia. Kuimba kwaya kutaondoa stress angalauπKuimba kwaya kunalipa kodi au kunakullisha kwa kuimba kwa vikundi?
Kuna mdau katoa hoja ambayo ukiichek unaona kama ina make sense hivi kuwa ""Eti ikiitwa MAMA .... FESTIVAL au AWARDS inaweza pata bank zote kuja kui supportMbwa wa serikali sijui kama wataruhusu hili litokee
Hili ni wazo zuri, ukilitizama kwa ukubwa, mfano wakaanzisha jobless society ambayo majobless watatambulika rasmi na wataregister CV zao then society ikawa na jukum la kuwatafutia ajira kwa makubaliano ya % fulani ya mishahara yao zitaingia mfuko wa society kwa muda fulani.Moja ya mawazo ya kipuuzi nimewahi yasoma hapa JF, hili wazo halitofautiani na wazo la kusema niite vijana wenzangu wengi tuanzishe kikundi cha kwaya badala ya kuwaza kuunda vikundi vya kujikwamua kiuchumi
Ingependeza wakutane Dodoma,ndiko wizara zote za serikali zipo!Wazo makini kuliko la landlover festival!Tena walale stand.Habari Tanzania,
Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa kuwa wahitimu wa taifa la Tanzania.
Mnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya mazungumzo na wahitimu.
Hii pia inaweza kuwa platform ya chanzo cha ajira hapa nchini.
Karibu kwa mchango wako.
Hapo kwenye kushindwa kujua potential ya mtu nimekuelewa mkuuSwali siwezi kikujibu maana haujaelewa .
Swala la kushindwa kujua potential ya MTU ndo inazifanya nchi zetu kuwa na masikini wengi.
Mimi niliandika Jobless forums au groups hapo tuna mawazo sawa, ila sio jobless festivalHili ni wazo zuri, ukilitizama kwa ukubwa, mfano wakaanzisha jobless society ambayo majobless watatambulika rasmi na wataregister CV zao then society ikawa na jukum la kuwatafutia ajira kwa makubaliano ya % fulani ya mishahara yao zitaingia mfuko wa society kwa muda fulani.
Wazo zuri Sana Sana Ila halita ruhusiwa kwa sababu ya ki intellegencia.Habari Tanzania,
Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa kuwa wahitimu wa taifa la Tanzania.
Mnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya mazungumzo na wahitimu.
Hii pia inaweza kuwa platform ya chanzo cha ajira hapa nchini.
Karibu kwa mchango wako.
Kuna mabomu ya machozi hayana kazi. ππππππHabari Tanzania,
Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa kuwa wahitimu wa taifa la Tanzania.
Mnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya mazungumzo na wahitimu.
Hii pia inaweza kuwa platform ya chanzo cha ajira hapa nchini.
Karibu kwa mchango wako.
Mkuu Jobless wa Mtwara, Songea, Kagera na Simiyu wakutane Dodoma tena walale stendi??? Upuuzi wa wapi huu mkuu au wenzangu mnawazaje etiIngependeza wakutane Dodoma,ndiko wizara zote za serikali zipo!Wazo makini kuliko la landlover festival!Tena walale stand.
Endelea kutiririka!Ungesema labda kuwe na jobless forums kwa magroup ambapo watu wanashare idea za ubunifu na ujasiriamali ambazo mtu yoyote anaweza kuzifanya na kujiingizia kipato
Huku ndo kunaitwa kujitafutia matatizo kwa lazimaKuna mabomu ya machozi hayana kazi. ππππππ
Kama unaweza, lifanyie kazi wazo hili, lina future nzuri ndani yake.Mimi niliandika Jobless forums au groups hapo tuna mawazo sawa, ila sio jobless festival
Kuna mabomu ya machozi hayana kazi. ππππππ
Toa maoni acha kukandia,hoja hujibiwa kwa hoja,hiyo ndio Hekima!Usipende kutumia lugha Kali Mimi sio mkeo Wala mwanao, pumbavu kabisa!Mkuu Jobless wa Mtwara, Songea, Kagera na Simiyu wakutane Dodoma tena walale stendi??? Upuuzi wa wapi huu mkuu au wenzangu mnawazaje eti