Mnaonaje graduates wote ambao hamna ajira mkaja na Bongo Jobless Festival?

Hili wazo zuri. Tuanze na festival itakuwa rahisi kufanya maandamo maana kutakuwa na muunganiko tayari.
 
yaani huna hela umechalala bado unaandaa festival? si mtaonekana mna hela za kuchezea na kulia kwenu ni bure
 
Endelea kutiririka!
Nimesema hivi na narudia tena, Tupo kwenye Dunia ya Technolojia na utandawazi, watu wanajipatia vipato na wengine wanakuwa matajiri kwa kutumia vzuri technolojia na mitandano, Ingeanzishwa Jobless forums ambapo watu mbalimbali washare idea zao za ubunifu na ujasiriamali ambazo mtu yoyote anaweza kuzifanya na kujiingizia kipato.

Hii atleast inaweza kupunguza majobless waliopo, lakini pia mmeona saizi vijana wengi wadogo wamejiajiri kupitia social media contents za wanaishi vizuri, Tujikita huku tunaweza punguza Ujobless kwa kiasi kikubwa
 
Inaweza saidia mamlaka kujua ukubwa wa tatizo la ajira. Maana zinapoandikwa namba/asilimia za wasio na kazi wanaweza fikiri ni tatizo ni dogo.
 
Kama unaweza, lifanyie kazi wazo hili, lina future nzuri ndani yake.
Hili wazo kuwa funded 100% uhakika. Pia waalikwa wapo wa kutosha ambao ndio wakusudiwa.
1. Media Houses
2. Banks
3. Mitandao ya Simu
Hapa wakiomba kushikwa mkono uhakika. Hii itasaidia kunetwork na watu mbalimbali.

Hizo taasisi hapo juu waweza kuwapa na kuwashika mkono kwa chochote kitu kwani kwao ni mileage nzuri na yakutosha sana.
 
Hapo umetiririka
 
Bro vitu havitafutwi manualy, hatupo mwaka 47,tupo 2024! Waje watuone kama watumwa wamekusanywa sokoni! Cheki takwimu,
 
Inaweza saidia mamlaka kujua ukubwa wa tatizo la ajira. Maana zinapoandikwa namba/asilimia za wasio na kazi wanaweza fikiri ni tatizo ni dogo.
Mkuu kila siku vipindi vya redio na Tv, Matokeo ya sensa na maandiko mengi sana yanaongelea Tatizo la ajira nchi hii, ina maana mamlaka haizioni? hapana zinaona lakini wanawazingatia ndugu zao tu au watu waliowafanya wao wapate hizo conection walizonanzo
 
sitaki kuajiriwa na mtu,sitaki utumwa, wacha ni pambane Mungu abariki kazi ya mikono yangu
 
Kwa mtiririko huu naamini unaweza kulisemamia vyema wazo hili, kila la kheri mkuu.
 
itasaidia we tatizo lako nini wacha waungane waandae jobless festivals, najua mlivyo waoga hamchelewi kukimbilia kusema wataleta taharuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…