Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Kwanini asipige kazi ya ukweli kwa miaka hii minne, matokeo yake yatawashawishi wananchi kuhusu hiyo issue.Nachokoza mada.
Wadau mnaonaje kama Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza matakwa ya katiba;
Kiuhalali na kwa haki kwake, anastahili kuwa wa pili nyuma ya Mwl Nyerere kwa kukaa ofisini kwa miaka 15 kwa maana ya miaka aliyopokea kijiti kwa sharti la katiba na ndipo sasa astahili utaratibu wa mila na desturi yetu ya uchaguzi ambapo anaruhusiwa awamu mbili 2025 – 2035?
Nini maarifa yako, tupe maoni kwa vigezo na ushahidi.
Wewe Nabii nini?Mbona mapema sana? 😃😃
lakini anaweza kulichomeka hilo kwenye katiba mpya anayopanga kuifufua after 2025.
Hata upupu pia una faida, una sababu kwanini uliumbwa. Soma hii uone Wascandinavia walivyowahi kuishi kwa upupu:-Sijasoma huu upupu zaidi ya Heading, ndio maana tunataka katiba mpya ili nchi iwe na mfumo imara sio kuona mtu fulani ni bora kuliko fulani.
Umeongea upuuzi sisi wapiga kura tunahitaji chama mbadala wa CCMNachokoza mada.
Wadau mnaonaje kama Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Rais Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza matakwa ya katiba.
Kiuhalali na kwa haki kwake, anastahili kuwa wa pili nyuma ya Mwl Nyerere kwa kukaa ofisini kwa miaka 15 kwa maana ya miaka aliyopokea kijiti kwa sharti la katiba na ndipo sasa astahili utaratibu wa mila na desturi yetu ya uchaguzi ambapo anaruhusiwa awamu mbili 2025 – 2035?
Nini maarifa yako, tupe maoni kwa vigezo na ushahidi.
Kila aliyepata dhamana ya kuongoza kwa wakati wake aliibuliwa hoja hii, hivyo siyo dhambi kama ikiibuliwa wakati wa SSH pia. Yawezekana mahitaji ya wakati yanahitaji kuwa na uamuzi kama wa China, Russia na Rwanda lakini labda hatujui au hatusikii ndiyo maana tunajikuta tunabaki kuganda kwenye hoja tu bila utekelezaji wake.kuwa chawa ni shaida sana kuna hata wale walisemaga mwendazake alazimishwe wenyewe nao wamebadilika wanadai mama anaupiga mwingi yaani kijani wana matatizo mengi sana , they cant think poor them
Did you mean STARCH?Mmeanza wanga
Itakuwa poa sana
Mbona tulikuwa na dira ya 2025 iliyopangwa tangu 1999? Nchi iko, itakuwepo, Ikulu, ipo, itakuwepo, hivyo sidhani kama kupanga mapema ni dhambi. Hata kwa MUNGU hatuendagi kwa dharura bali kwa maandalizi ya kutosha (prior-preparation).Hii nchi haichezewi jamani mnavyoanza kupanga ya mbele na Mungu naye anapanga yake, bado hatujajifunza tun?
Siyo kweli mkuu, SINA MASLAHI NA MAMA zaidi ya kuwa kiongozi wangu na mimi raia wake.Ni kweli, kwakuwa ww na mleta mada ni wafaidika wa sasa wa madaraka ya mama wa kambo.
Mnaanzaga hivi hivi. Mbona enzi za JK na Mkapa hamkuwa na haya mawazo?Nachokoza mada.
Wadau mnaonaje kama Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Rais Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza matakwa ya katiba.
Kiuhalali na kwa haki kwake, anastahili kuwa wa pili nyuma ya Mwl Nyerere kwa kukaa ofisini kwa miaka 15 kwa maana ya miaka aliyopokea kijiti kwa sharti la katiba na ndipo sasa astahili utaratibu wa mila na desturi yetu ya uchaguzi ambapo anaruhusiwa awamu mbili 2025 – 2035?
Nini maarifa yako, tupe maoni kwa vigezo na ushahidi.
Chama changu hukijui na mimi sijui cha kwako, ila sote mimi na wewe hatujazuiwa kupeleka chama tunachotaka kiongoze.Umeongea upuuzi sisi wapiga kura tunahitaji chama mbadala wa CCM
Mimi ushauri wangu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ajipime kwenye uwanja sawa uliokuwa na Tume huruKatiba inasema awamu zisizozidi mbili kwa uchaguzi, yeye awamu zake mbili za uchaguzi ni 2025-2035, si ni ukweli huu mkuu imhotep?
Yalikuwepo, yaliibuka, ni kwa kuwa hukuwa na mtandao jamii, au inawezekana ulikuwa busy ku-clear supplementary za chuo kwamba hukutaka kusoma gazeti wala kufuatilia taarifa za habari.Mnaanzaga hivi hivi. Mbona enzi za JK na Mkapa hamkuwa na haya mawazo?
Chawa ni janga kwa ili taifa.