Mnaonaje tubadili katiba yetu ili Rais Samia aendelee kuongoza Taifa letu baada ya kumaliza muhula wake 2030?

Hivi unawazaga kwa kutumia makalio?

Vipi kama Mwinyi angeamua kubadili katiba aendelee kuongoza, Mkapa angepata wapi nafasi ya kuwa Raisi?

Vipi kama Mkapa angeamua kubadili katiba aendelee kuongoza, Kikwete angepata wapi nafasi ya kuwa Raisi?

Vipi kama na Rais Kikwete angeamua kubadili katiba aendelee kuongoza baada ya miaka yake kuisha,
Unadhani Mama angepata wapi nafasi ya kuwa Raisi leo hii?

Acha kuwaza kwa kutumia makalio you phoooool...
 
Naunga mkono hoja. Lameck asubiri tu hadi 2035.

Mama Samia FOREVER!

Nyau de adriz
 
Hili auze na kumaliza Tanganyika
 
Nyie machawa mnaofaidika na hizi tawala za majizi ndio mnatama hilo lifanyike kwenye hii katiba mbovu.
 
Kwa sasa watanzania wanataka Mama aendelee kuongoza Taifa letu. Maana chini ya uongozi wake wameona mafanikio makubwa yaliyopatikana na namna Maisha ya watanzania yalivyo badilika na kuwa yenye Matumaini makubwa sana .
Hakuna mtanzania mwenye akili hiyo ni wajinga wa aina yako tuu, mgawa rushwa huyo hafai
 
Daaaah me ndio mana wanyakyusa nawaogopa sana, anyways wikend nlikutana na a friend nkamuulizia about another friend, jamaa a kaniambia yule jamaa mfumo umemuingia sana usimwamini, yan nasikia wakiingiwa na hii mifumo hata dada zao wanaweza kuwala, ndio mana sishangaahi upuuz wa lukasi...
 
Usenge huu uliwahi kusababisha baadhi ya Viongozi kupoteza uhai, Usitake na Mh Samia washenzi wafanye Yao maana Tanzania kuna mengi hebu Mwashambwa peleka upuuzi wako huko kwenye familia yako
 
Kaazi kweli kweli.....

Hata akizeekea kwenye kiti shauri zenu nchi iwe shamba la bibi mara dufu
 
Ni wazo jema ila kwa Ustawi wa Demokrasia haitavutia sana, maana kuna siku madaraka yataangukia kwa Mwingine alafu akitaka kuvunja katiba kufuata Utaratibu huu italeta shida..

Alafu Mkuu, mheshimiwa anafanya Mengi makubwa ambayo watu wanapaswa kuyajua mfano Kukamilika kwa mradi wa Bwawa la Hayati Mwl, Ujenzi wa Mashule Mapya nk ndo vitu unapaswa kuwajuza wadau, hizi thread za hivi zinafanya upunguze credibility yako hapa jukwaani na ukizingatia mada zako hua zina mhusu one wa Inji hii, au hukufundishwa law of relativity??
Its simple, rafiki zako wakiwa wanaongea visivyoeleweka wanasababisha na wew rafiki yao uonekane wa hivyo hivyo. Unavyofanya sio vizuri kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…