Mnaonaje tubadili katiba yetu ili Rais Samia aendelee kuongoza Taifa letu baada ya kumaliza muhula wake 2030?

Mnaonaje tubadili katiba yetu ili Rais Samia aendelee kuongoza Taifa letu baada ya kumaliza muhula wake 2030?

Inabidi a renegotiate mikataba yote mibovu na aifanye iwe na maslahi na ustawi mzuri kwa watanzania.

A balance vizuri uzalendo, haki za binadamu, demokrasia, na mahusiano mazuri na mataifa yenye nguvu duniani. Awe pia na mahusiano mazuri na mikoa yote ya Tanzania.

Sasa hivi karibia bunge lote ni ccm. Anaweza akapitisha sheria ya kuruhusu urais kuwa term tatu, za miaka mitano kila term. Au urais kuwa term mbili, za miaka sita kila term. Wabunge na madiwani wawe na terms za miaka sita, na sio mitano kama ilivyo sasa.

Miaka saba hapana, ni mingi sana.
 
Back
Top Bottom