Mnaonaje tubadili katiba yetu ili Rais Samia aendelee kuongoza Taifa letu baada ya kumaliza muhula wake 2030?

Ndugu zangu Watanzania,

Katiba siyo msaafu wala siyo Biblia. Katiba yetu ilitungwa na wanadamu ambao ni watanzania kwa lengo la kuwa kama muongozo wa masuala mbalimbali ya kuongoza Nchi yetu. Katiba Ni karatasi tu zilizojaa maneno ya namna gani ya jambo fulani lifanyike na hatua zipi zifanyike na kufuatwa katika kufikia hitimisho la jambo fulani.

Katiba yetu ipo kwa ajili yetu watanzania na ni kwa ajili ya ustawi wetu pamoja na Taifa letu kwa ujumla wake. Ni muongozo wa mambo yetu wenyewe.

Nilikuwa napenda kuwaambieni watanzania Wenzangu ya kuwa tufike wakati tutambue ya kuwa viongozi aina ya Rais Samia hawazaliwi kila siku na wala hawapatikani kila Nchi na wala siyo Rahisi kuwatengeneza .

Huyu Rais ni Mchapa kazi kwelikweli,ni mzalendo aliyetukuka na ambaye huwezi kumtilia shaka juu ya uzalendo wake,ni kiongozi mwenye maono,akili kubwa,upeo mkubwa na Karama ya uongozi. Ni kiongozi ambaye amejitoa na kujitolea Maisha yake Kama Sadaka kuwatumikia watanzania.

Ameyatoa Maisha yake kama Zawadi kwa Watanzania. Sasa kwanini tusithamini na kutambua Moyo huo wa upendo wa kipekee wa Rais wetu? Kwanini tusibadilishe katiba yetu ili Mama aendelee kuongoza Taifa letu.

Uzuri wa Mama yetu ni kuwa bado yupo imara kimwili na kiakili. Akili yake inachemka Muda wote na hapa unaweza kuona kupitia mipango yake na mambo makubwa aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya hapa Nchini.

Jiulizeni Angela Merkel aliiongoza Ujerumani kwa miaka mingapi.Kumbukeni ya kuwa Ujerumani ndio Taifa lenye uchumi mkubwa sana barani Ulaya. Na ni yeye aliyefanya kazi kubwa ya kuhakikisha kuwa Ujerumani inaendelea kuwa imara kiuchumi.

Sasa kwanini tusimpatie Mama yetu Muda zaidi wa kuongoza Taifa letu ili tufaidi vyema kazi ya mikono yake ? Mnafikiri ni Nchi gani hapa Afrika mashariki na ukanda huu wa kusini Mwa jangwa la Sahara itakayotufikia kiuchumi?

Huyu Hapa Mama wa Shoka Jasiri Muongoza Njia👎View attachment 3225535View attachment 3225537View attachment 3225539View attachment 3225540

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Muhula wa kwanza utaanzia 2025 !
 
Tuwashauri wazazi wasifanye ngono zembe kwenye mikesha ya mwenge au watumie kinga matokeo yake ndiyo haya tunapata taifa la kina lucas mwashambwa ni hatari kwa usalama wa nchi na vizazi maana lucas akili yake inajua njia ya kwenda kupuu polini tu.
 
Nimekusamehe bure kabisa. Amani ya Bwana iwe pamoja nawe na Mungu Akusamehe sana na kukufanya kuwa chombo chake kipya cha kueneza upendo kwa watu wote.
 
Unaonaje ukifanya mpango wewe na familia yako mkamchukua mama awaongozee ukoo wenu pekeenu?
 
Hata sasa ndiye kiongozi wetu kwa nafasi yake ya Urais pamoja na Mamilioni ya watanzania wote ambao wanampenda kwa dhati ya mioyo yao na kuwa na kiu kubwa ya kuona katiba ikibadilishwa ili aendelee kuongoza kwa miaka mingi zaidi
 
Uchawa ni adui mwingine wa taifa aliyetokea hivi karibuni. Umaskini, maradhi, na ujinga wamekuwa ni maadui wa kihistoria, lakini hili la uchawa limekuwa ni la aibu zaidi.

Uchawa ni sawa kabisa na mtu kujitoa ufahamu kujiuza hadharani. Ni uvivu wa kufikiri na kutenda ili kufanikiwa kupata "short cut in life"

Chawa kama wewe Lucas ni laana kubwa sana katika familia yako, kizazi chako, na hata kwa taifa kwa ujumla. Badala kutumia elimu yako na kipaji chako cha uandishi katika kushughulikia changamoto zinazowakabili vijana wa rika lako hapa nchini, wewe kazi yako kubwa ni kusifu na kuabidu tu watawala.

Kweli si kila anayevaa msuli huwa ni mwanaume. Kalaghabao!
 
Akifanya mapinduzi ya viwanda hamna shida hata akiwa malkia wetu
 
Hahahaha! Samia ni overrated sana, sio Rais Bora kihivyo ila UCHAWA na kuabudu kutoka Kwa vijana wa UVCCM na wasanii na waigizaji wachumia tumbo ndo vinafanya aonekane Bora, ila Kwa utendaji bado hata yule mwehu wa CHATU hajamfikia
Ndugu zangu Watanzania,

Katiba siyo msaafu wala siyo Biblia. Katiba yetu ilitungwa na wanadamu ambao ni watanzania kwa lengo la kuwa kama muongozo wa masuala mbalimbali ya kuongoza Nchi yetu. Katiba Ni karatasi tu zilizojaa maneno ya namna gani ya jambo fulani lifanyike na hatua zipi zifanyike na kufuatwa katika kufikia hitimisho la jambo fulani.

Katiba yetu ipo kwa ajili yetu watanzania na ni kwa ajili ya ustawi wetu pamoja na Taifa letu kwa ujumla wake. Ni muongozo wa mambo yetu wenyewe.

Nilikuwa napenda kuwaambieni watanzania Wenzangu ya kuwa tufike wakati tutambue ya kuwa viongozi aina ya Rais Samia hawazaliwi kila siku na wala hawapatikani kila Nchi na wala siyo Rahisi kuwatengeneza .

Huyu Rais ni Mchapa kazi kwelikweli,ni mzalendo aliyetukuka na ambaye huwezi kumtilia shaka juu ya uzalendo wake,ni kiongozi mwenye maono,akili kubwa,upeo mkubwa na Karama ya uongozi. Ni kiongozi ambaye amejitoa na kujitolea Maisha yake Kama Sadaka kuwatumikia watanzania.

Ameyatoa Maisha yake kama Zawadi kwa Watanzania. Sasa kwanini tusithamini na kutambua Moyo huo wa upendo wa kipekee wa Rais wetu? Kwanini tusibadilishe katiba yetu ili Mama aendelee kuongoza Taifa letu.

Uzuri wa Mama yetu ni kuwa bado yupo imara kimwili na kiakili. Akili yake inachemka Muda wote na hapa unaweza kuona kupitia mipango yake na mambo makubwa aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya hapa Nchini.

Jiulizeni Angela Merkel aliiongoza Ujerumani kwa miaka mingapi.Kumbukeni ya kuwa Ujerumani ndio Taifa lenye uchumi mkubwa sana barani Ulaya. Na ni yeye aliyefanya kazi kubwa ya kuhakikisha kuwa Ujerumani inaendelea kuwa imara kiuchumi.

Sasa kwanini tusimpatie Mama yetu Muda zaidi wa kuongoza Taifa letu ili tufaidi vyema kazi ya mikono yake ? Mnafikiri ni Nchi gani hapa Afrika mashariki na ukanda huu wa kusini Mwa jangwa la Sahara itakayotufikia kiuchumi?

Huyu Hapa Mama wa Shoka Jasiri Muongoza Njia👎View attachment 3225535View attachment 3225537View attachment 3225539View attachment 3225540

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Tulisema na tunajuwa kwamba, walio karibu yake, wanafaidi mpaka wanavimbiwa, bila kujali madeni, ufisadi, ufujaji na wizi wa maliasili na rasilimali zinavyoibiwa na kutokomea!
Ila kuna siku mtatujibu au kuwajibu raia!
 
Back
Top Bottom