Mnaonaje tubadili katiba yetu ili Rais Samia aendelee kuongoza Taifa letu baada ya kumaliza muhula wake 2030?

Vile vile Zidumu fikra zako lakini ukifa hatuwezi kupata mrejesho Inamaana tutaharibikiwa

Changamoto nyingi tulizonazo husababishwa na 1. Taarifa 2.Mjanga. 3. Binadamu

Kuhusu taarifa kama uwezo wako wa kutafsiri taarifa ni mdogo itakusabishia changamoto

Kuhusu majanga, yapo ya Kimungu na yakibinadamu kwenye majanga huwezi kuchomoka

Kuhusu binadamu, binadamu anaweza jisabibishia changamoto kwa ujinga, uzembe, uvivu, ulevi, ushamba, upumbavu, wivu, uoga,(fear of the unknown)
Binadamu anaweza wasababishia wengine changamoto kwa makusudi,(rejea watu wasiojulikana) ama kwa bahati mbaya
 
mkuu sio tu kwa muhula mwingine mwambie aongoxe mpaka atakapofariki!Unaonaje hapo?😉😉
 
Stupid
Foolish
Crap
Toilets
 
Mbadili katiba ya ukoo wenu ili akimaliza mhula huu aje kuwa mwenyekiti wa ukoo wenu.
 
Sawa ila kwa Masharti?
Tuanze kwanza na Tume huru ya uchaguzi wa biometry kama mfumo wa uchaguzi.

Katiba iondoe Kinga ya Rais kushtakiwa akicanya makosa.😂😂
 
Lucas huna akili kabisa, hata za kuvukia barabara huna
 
Angekuwa Magufuli sawa hata miaka 20 angepewa aongoze japo mafisadi wangeumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…