Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sababu za msingi badala yake Madiwani ndio wachaguliwe sanjali na uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kwa sababu ni viongozi wa ngazi za Halmashauri,sio sawa kuwachagua pamoja na Rais na WabungeWanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa.
Hili ni swali la pendekezo uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, usogezwe na kufanyika 2025, ufanyike siku moja na uchaguzi mkuu wa 2025, na usimamiwe na Tume huru ya uchaguzi, by that time pia ile dhulma ya kipengele batili ndani ya Katiba yetu iwe imeondolewa na sheria ya uchaguzi kurekebishwa ili haki za Watanzania kuchagua na kuchaguliwa, zilizoporwa kiubatili, zirejeshwe?
Nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili, baada ya kumsikia Rais Samia, akikizungumzia kitu fulani alicho kiita kivumbi hivyo amemteua mtu mwenye kifua pale Tamisemi!
Msikilize Rais Samia
Nikimnukuu Rais Samia "mwakani kuna kivumbi, mimi nakujua, najua unaweza, kivumbi kile kinafanana na kifua chako, najua unaweza, mwakani ni kazi kazi, ili tu sail vizuri".
Japo hapa hakikusemwa ni kivumbi cha nini, ila waelewa tumeisha elewa hiki ni kivumbi cha uchaguzi wa serikali za mitaa!.
Ushauri huu wa leo, niliwahi kuutoa kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2019, nilitoa ombo maalum na nilishauri Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
Katika bandiko hilo, nilishauri
Mene Mene Tekeli na Peresi imeisha wahi kutushukia, tusikaribishe tena Mene Mene!.
Hivyo sasa nauliza na kushauri, mnaonaje kama uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi?
Naombeni tusilete excuse ya chaguzi 4 kufanyika siku moja, yaani uchaguzi wa Rais, Mbunge, Diwani, Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa, wenzetu Zanzibar wanafanya chaguzi 5 kwa siku moja, Rais wa JMT, Rais wa Zanzibar, Mbunge wa Bunge la JMT, Mwakilishi wa BLW, na Shehia!.
Hili likifanyika, Rais Samia na taifa Letu litabarikiwa, na viongozi wetu wabarikiwa, na sisi wananchi wa kawaida pia, tutabarikiwa na kupata neena na mafanikio makubwa, na nchi yetu kupata ustawi mkubwa wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Bado hatuna tume huru, tuliyonayo ni ile iliyosilimuishwa bila ridhaa usiku wa manane.Wanabodi,

Wanabodi,

Mkuu ndengisivilii ,karibu mitaa hiiKwa tume ipi kaka? wewe ni mdau ambae unatakiwa uanze kutoa makala kuhusu kuboreshwa kwa tume ya uchaguzi ili ipatikane tume huru ya uchaguzi, kuongea ukweli sio dhambi kaka.