Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana!

Hakuna sababu za msingi badala yake Madiwani ndio wachaguliwe sanjali na uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kwa sababu ni viongozi wa ngazi za Halmashauri,sio sawa kuwachagua pamoja na Rais na Wabunge
 
Bado hatuna tume huru, tuliyonayo ni ile iliyosilimuishwa bila ridhaa usiku wa manane.
 
Kwa tume ipi kaka? wewe ni mdau ambae unatakiwa uanze kutoa makala kuhusu kuboreshwa kwa tume ya uchaguzi ili ipatikane tume huru ya uchaguzi, kuongea ukweli sio dhambi kaka.
Mkuu ndengisivilii ,karibu mitaa hii

P。
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…