Mnaopekua simu za wapenzi/waume/wake zenu huwa mnataka nini kifuate?

Mimi siwezi kukagua simu ya mtu sio tu ya manzi yangu ila hata mzazi siwezi.

Kuna kitu kimenitokea juzi mpk nakijalaumu sana na sijui hata kiherehere kilitokea wapi
kukagua simu dah ni kujitafutia visononeko na presha za ajabu kila mtu abaki na yak tu
 
Nakubaliana na wewe partially.

Binafsi, naamini kukagua simu ya mtu ni kukosa trust. Mtu unakua na mashaka yanayokufanya usimuamini mwenzako. Binafsi sijawahi kujisikia kushika simu ya mwenza wangu kwa sababu namuamini. Yeye pia hajawah,i ila inaweza kutokea nahitaji kufanya kitu na simu yangu iko mbali basi naomba kutumia yake na hajawahi kusita kunipatia.

Nafikiri kuaminiana ni nguzo muhimu ya mahusiano, kwenye kujenga uaminifu hapo ndiyo kipengele.
 
Pengine huwa ni wivu wa kijinga nakutojiamini,kuna janaume moja jirani lilipekua simu ya mkewe,eti nalo likaanza kuchati na mwanaume fulani,ambae ni mfanyabiashara mwenzake na mkewe,huyo mme alikuwa ameandika neno vpi honey!!,basi janaume likatiririka likijifanya ndo mke (yaani mkewe),kwa fikra zake linadhani ati mkewe anachepuka,ugawa ugomvi ndani uso na sababu,hvi mwamfikiriaje mtu wa hivi??
 
Kwanini uitwe honey na wewe sasa
 
Hivi unaweza mfatilia mtu ambae hukumkuta bikra kwanin watu wanapenda kujipa shughuli za ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…