Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

Atakua ishengoma huyo [emoji23][emoji23] wanaume wa muleba wana matatizo sana, Juzi nilikutana na Kyaruzi ananilazimisha nimpe namba mbele za watu nilijiskia fedheha mno.

Waha nao wana tabia hizo hizo sijui wakoje.
Ulipiga teke debe la dhahabu now ungekuwa US unakula maisha, kwanza kutongozwa na muhaya ni bahati sana, maana sisi hatutongozagi waafrica sisi ni wazungu tu
 
Shemeji zangu akina Rutashobya,Rugalabamu,Barongo,Rutakyamirwa hawanaga hizi pigo za kubembeleza eti wapewe namba,hakuna muhaya anayejishusha kisa kitu kidogo kama namba ya simu.[emoji23]
Mtani upo? Yaani nisipowatania hapa JamiiForums Watani zangu huwa sisikii raha kabisa.
 
Mwanamke mzuri utampandishaje daladala wakati show room zimejaa mpaka vichochoroni??hiyo ni dalili ya umaskini
 
Oya Wahaya ( Watani zangu wakubwa ) mliopo hapa JamiiForums hizi Shutuma kuwahusu ni za kweli au mnaonewa tu?
Heshima itangulie mbele Mzee .
Muongee kwa vituo.
Huu upuuzi mnaouanzisha wa mada za Makabila muwe makini nao otherwise utawatokea puani!.
 
Shemeji zangu akina Rutashobya,Rugalabamu,Barongo,Rutakyamirwa hawanaga hizi pigo za kubembeleza eti wapewe namba,hakuna muhaya anayejishusha kisa kitu kidogo kama namba ya simu.[emoji23]
Wewe utakuwa unatujua vizuri !
 
Mwanamke mzuri utampandishaje daladala wakati show room zimejaa mpaka vichochoroni??hiyo ni dalili ya umaskini
Aliyekuambia au aliyekudanganya kuwa GENTAMYCINE ni Tajiri ( Wealthier ) nani? Heko Kwako kwa kuwa Milionea mno tu.
 
Ulipiga teke debe la dhahabu now ungekuwa US unakula maisha, kwanza kutongozwa na muhaya ni bahati sana, maana sisi hatutongozagi waafrica sisi ni wazungu tu
Aah wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wahaya mna mambo ya ajabu na ya kufurahisha
Kuna jamaa ilikua hata ukichukua simu yake hakukimbizi wala hafanyi kitu anakuacha tu anakaa alipokaa kiboss yani sijui mnajikutaga nani [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilizurula na simu siku nzima akasema nimpe line simu nibaki nayo
 
Huyo hajui mbinu za kivita tatizo
 
Mkuu hongera sana,me hata kupiga push ups nikianza wiki ikiisha najipongeza ila baada ya hapo sirudii tena hadi miezi kadhaa, umewezaje aisee [emoji846][emoji846]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…