ummumuhammad
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 796
- 697
Hoja yako ilikuwa hakuna mwalimu anayepokea 1.29,Ndiyo maana nikakutaka utoe ushahidi ili tuone bayana.Tofauti na ulichokiandika.Nina dogo yupo TANESCO ana certificate ya VETA mwezi mmoja kazini ananionyesha salary slip.
Basic 800k
Responsibility allowance 130k
Housing allowance 150k
Posho ya mazingira magumu 120k.
Hapo bado zile bahasha za pale ofisini kukiwa na over tym na safari.
Almost 1.3M
G=1.6,H=2m+,J=3m+,F=1.2+,E=950KYah wapo mpaka wa 1.8 mil take home wale wenye uzoefu kazini
Hilo pia ni sahii ila Kuna mchizi wangu huwaananiambia yeye lazima hele yake aifanyie vitu Fulani hivi Ili akimpa mtu aliye msaidia kazi iishe chapu Ili arudi haraka kaziniHapana bali kuna mentality flani inakuja akilini kwamba hata hii ikiisha nyingine ipo
Mkuu kuna watu wanaingiza 1M minimum/day, huyu mshahara wake unaweza kuwa sn ngp?13M anafanya kazi gan?
Mwalimu wa primary wa ngazi ya TGTS.H au TGTS.I siyo rahisi hizo ni ngazi za Principal Education Officer II na I.Wapo hata wa primary wanapokea zaid ya hapo hasa wenye TGTS F ,G,H,I
Tgts H wapo walimu wa shule ya msingi ninaowafahamu tena wawili wanastafu 2025.Mwalimu wa primary wa ngazi ya TGTS.H au TGTS.I siyo rahisi hizo ni ngazi za Principal Education Officer II na I.
Mishahara yao yenyewe inaishia kwenye mawigi na mayeboyebo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanawake wenye mishahara huwa wanawadharau sana wanaume wao ambao hawana mishahara
Ulikua huli?Mie nasema ukweli nilikuwa napokea 5,00000 Kwa mwezi haijakatwa kitu ila nilikuwa namaliza mwezi Wala simwombi mtu hata kumi , laki Moja na 30 ni nauli ya Kwa mwezi kwenda kazini na kurudi home , chakula laki Kwa mchana tu , hapo laki mbili zimebaki , halafu 1 laki ni pamba na 50 vitu vya jumla na 50 ndio akiba yangu benki , ila sio kila mwezi nanunua pamba Kwa hiyo ni laki nanusu naweka benki . Kwa hiyo ndio hivyoo.
Ukitoa hyo 130k unabakiwa na 270k.ebu nisaidie mchanganuo wa matumizi ws hiyo 270k mwezi mzima400000 ukiwa na akili unafanya mambo yako poa tuu,napokea chini ya hapo nalipa rent 130000,Nina watu 5 nyuma yangu,nanunua gesi ,kulipia umeme ,chakula ,ni kupambane tuu mkuu,
Umesoma vizuri kweli??Ulikua huli?
Chukua kadi yako ikate na mkasi itupe kwa dustbinMimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakuwa nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
270k,mchele kg 20=60000Ukitoa hyo 130k unabakiwa na 270k.ebu nisaidie mchanganuo wa matumizi ws hiyo 270k mwezi mzima
Izo wiki mbili ambazo zinabaki hua unakopa eeh?endelea kujimwambafai na matumizi yako ya hovyo.Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakuwa nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Ukibahatisha kupata riziki ya kukuweka mjini, usiingiwe na ujinga, zingatia maisha yako kwanza, kama chini ya milioni unajishangaa, shangaa pia na chini ya laki 2, wanaofanya kazi viwandani, unajua wanacholopwa!?Nimekushangaa sana unawezaje kuishi mwezi mzima ukaumaliza kwa mshahara wa 1.2M ?
Haya Sasa na wewe jieleze kama ulivyotaka wenzako wanaolipwa chini ya 1M wajieleze maana mimi nisingetoboa na huo mshahara wako siku 3
Kuna watu mnateseka sana. Huo mshahara wako ni gharama za bando wiki. Ila wewe unakula... Kunywa... Kuhonga... Wiki 2? Mh tafta ela kijanaMimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakuwa nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Njaa imepanda kichwani unaniletea hasira Mimi?U
Kibahatisha kupata ridhiki ya kukuweka mjini, usiingiwe na ujinga, zingatia maisha yako kwanza, kama chini ya milioni unajshangaa, shangaa pia na chini ya laki 2,wanaofanya kazi viwandani, unajua wanacholopwa!?
Hapana mkuu, ukishiba usikufuru basi. Kuna watu mjini wana kipato kidogo kweli kweli, kwa sisi tuliokaa uswahilini, mshahara wa laki 2 ni mkubwa tu eti na mtu anaheshimika😂, analipa pango 30k kwa mwezi uhakika, usitushangae mkuu, tunaishi vizuri tu kwa nusu milioni.njaa imepanda kichwani unanletea hasira Mimi?