The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Sijui kitu wakati mi mwenyewe mchagga, naponda ninayo ona kwenye jamii yetu bila kujali mi ni miongoni.....walutheri ndio zao kuringa....Hujui kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kitu wakati mi mwenyewe mchagga, naponda ninayo ona kwenye jamii yetu bila kujali mi ni miongoni.....walutheri ndio zao kuringa....Hujui kitu
Mchagga wa machame, koo za kina Shoo, shayo, Lema, Nkya, Shirima, Mushi, Moshi, Munisi, n.k hao wote wa machame.Askofu Dr Shoo ni kabila gani ?
Hata kwenye maisha ya kawaida, Kama ni mtumishi wa umma fanya maendeleo makubwa utashangaa takukukuru wanakufuatilia Mara wezi, wachawi, wapiga fitna n.k, lakini ukikaa tu Kama zombi/teja hutakuwa na mgogoro wowote
Kanisa siyo taasisi ya kidemokrasia, bali ni taasisi inayoendeshwa kwa misingi ya mafundisho ya YESU KRISTO, nje ya hapo ni ubatili.Uhuru wa kujieleza una changamoto zake ndo hizo, nenda kwa wanaoabudu sanamu na kuongozwa kama ng'ombe
Ni kwa kujibu wa kuabudu sanamuKanisa siyo taasisi ya kidemokrasia, bali ni taasisi inayoendeshwa kwa misingi ya mafundisho ya YESU KRISTO, nje ya hapo ni ubatili.
Askofu Dr Shoo ni kabila gani ?
Kumbuka Biblia inasema unyenyekevu una nguvu kuliko UKALIMU.Uhuru wa kujieleza una changamoto zake ndo hizo, nenda kwa wanaoabudu sanamu na kuongozwa kama ng'ombe
Pilipili usoila yakuwashia ni? Umeshatubu kwa padri?Kumbuka Biblia inasema unyenyekevu una nguvu kuliko UKALIMU.