Mnaosema bandari imeuzwa tunaomba mtueleweshe imeuzwaje, na kwa kiasi gani

Utakuja kuelewa ukiwa umechelewa sana
 
Waje hapa watuambie sema watz kwa kufuata mkumbo bana ukute hat kufata mzigo bandarini hajawahi
 
Kwa hiyo hayo yote unayotuonyesha ww umeamin na unaamin watu milion 63 hawayawezi kabisa hata ww wakitrain ktk hiyo KAZI watakuwa wanatwanga maji kwenye kinu ndivyo unavyoamin na wala hakuna sababu ya vijana kujengewa uwezo.kweli Afrika na Waafrika ni wa AJABU sana.yaan ww unaamin nchi nzima tumefel mpaka zero.lkn ukumbuke huo ni mpaka wa nchi.Naamin kuna kitu kitatokea wala siku sio nyingi.
 
Tumeshapeana miaka mingi ya kujaribu, inatosha; muda wa kukubali matokeo. Tuwape kazi wenye uwezo watuongoze kwa muda.

Ma bank leo yanatoa faida kwa sababu wamefundishwa kazi na wageni kwa miaka ishirini, wamesha zoea culture ya kigeni ya mafanikio waliyopewa kwenye utendaji, kuna fiscal discipline.

Matunda yanaonekana kwa kukua kwa huduma zao na capital reserves.

Tukubali matokeo na kwengineko kunahitajika huo utaratibu; hasa eneo kama bandari wapewe wenye uwezo kubadili culture ya kufanya kazi.
 
Hawawezi kuonesha. Hawa ni watu wenye maslahi binafsi ambao wanajua uongozi ukinyooka hapatakuwa na wizi pale bandarini na kupitisha mizigo kiholela kutakwisha.
 
Swali hiyo biashara itafanyika kwa muda gani tuanzie hapo. Making social inferences: means understanding information that is inferred or not directly stated. It involves observing a situation, to figure out what has happened or what is happening.
 
Huyo dada akiminya hapo aliposhikilia endepo huo mlango haujafungwa na ufunguo, akabonyeza chakufungulia mlango bila kujua ama kwa makusudi wote walio weka sehemu kubwa ya makalio yao kwenye huo mlango watadondoka huo ni mfano mzuri kuhusu hili jambo la DPWORLD endapo tukawachia CCM ambao muda mwingi hujitoa ufahumu,(unyumbu), mimi nina km mieze 3 naandika kuhusu usiyo yatarajia endapo unajua ukiyapuuza hutengeneza janga/majanga ambayo katu huwezi kuyatatua. Uncertainty and uncertainty inherent tatizo CCM wanadhani wanauwezo wa kufikiri kuliko wengine wote
 
Vipi kuhusu matimizi. Je yafaa tusaidiwe pia ?
 
Kwa kuwa mikataba ya utekelezaji itakuwa ni siri kwenye hiyo mikataba ndiko tutakakokuwa tunaliwa.Hata kwenye miswada inayojadiliwa na kupitishwa na bunge shida inaanza pale ikifika serikali na waziri muhusika anapoandalia kanuni zake
 
Kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya mwaka 2022 Tanzania inasemekana ina zaidi ya watu milioni 60 hivi kati watanzania wote hao tumeshindwa kupata watu kadhaa ambao wanaweza wakawa trained na hao Dp world wakaweza kusimamia bandari zetu kama hao waarabu badala ya kuwapa mazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…