Mnaosema mapenzi ni pesa "hampendwi!!". Tazama huyu aliyeyapatia mapenzi

Mnaosema mapenzi ni pesa "hampendwi!!". Tazama huyu aliyeyapatia mapenzi

Huo Ni utumwa wa kiwango Cha pro max Wala sio mapenzi.Afu usikute hiyo picha iliratibiwa tu Haina uhalisia wowote.
 
Unajua nimecheka sana mkuu, kwa sababu Afrika mzungu asingepatakasa pangekuwa sehemu ya ajabu sana. Wanawake wa zamani wamepitia mengi sana, ulikuwa hata ukiwaona hawana nuru kabisa, ndiyo maana wa siku hizi wamenawiri yaani karibu kila mwanamke utakayekutana naye lazima anakuwa anavutia hata kama umri wa ujana umeanza kumpiga mkono, kwa sababu wanapata treatment nzuri kutokana na ulimwengu kuelimika.
Single Mothers kujaa kila kona za mitaa ndiyo Ke kuwa na na nuru zinazong'aa [emoji848]
 
Nae ana msala wake kuhakikisha pesa ipo, na wife anajua hilo anasubiri tu zamu yake.
 
Back
Top Bottom