Mnaosema mapenzi ni pesa "hampendwi!!". Tazama huyu aliyeyapatia mapenzi

Mnaosema mapenzi ni pesa "hampendwi!!". Tazama huyu aliyeyapatia mapenzi

Yes. Kinachoangusha ndoa za siku hizi ni ubabe wa kila mwenza.
Na ndiyo maana mara wachinjane,kupigana risasi,kulawitiana,kupeana vilema,kuacha sonona kwa ndugu zao nk.Mapenzi ni mchezo wa mbinu zaidi ya zile za kijeshi.
 
Back
Top Bottom