Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
Kwambaaa[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes. Kinachoangusha ndoa za siku hizi ni ubabe wa kila mwenza.Mapenzi ya kweli ni lazima mmoja awe bwege.
Shoga umerudi kwa Id yako ya zamani tena?.
Ndiyo mpenz,niliipumzisha kidogo
Wadada bana mnavyoitana kiutamu utamu daaah! 😋😋😋Kabisa cute....
Usipopenda lazma uone mateso, hilo halina tofauti na kwenda kumpikia na kumfulia boyfriend kila weekend kwake. Na kumchanulia mapaja juu.Hayo ni mateso
💯🤝Usipopenda lazma uone mateso, hilo halina tofauti na kwenda kumpikia na kumfulia boyfriend kila weekend kwake. Na kumchanulia mapaja juu.
Angalia hiyo picha vizuri mkuuUsipopenda lazma uone mateso, hilo halina tofauti na kwenda kumpikia na kumfulia boyfriend kila weekend kwake. Na kumchanulia mapaja juu.
Achana na Beesmom saiviWadada bana mnavyoitana kiutamu utamu daaah! 😋😋😋
Nimeiona vyedi, huyo mwanamke anainjoy kutembea na mumeweAngalia hiyo picha vizuri mkuu
Ha ha haa,kumbe vizuriNimeiona vyedi, huyo mwanamke anainjoy kutembea na mumewe
Kwa hiyo saivi ni mwendo wa To yeye sio?Achana na Beesmom saivi
Unafaa kupewa limbwataKama hayo ndio mapenzi ya dhati basi siyataki kabisa.
Kabla mashetani hayajavamia..😂Hapo ni mwaka 1990's.
Asante kwa kunijuzaYeah sure
Shida mkiitwa,nyie mnawaza vyengineWadada bana mnavyoitana kiutamu utamu daaah! 😋😋😋
Na ndiyo maana mara wachinjane,kupigana risasi,kulawitiana,kupeana vilema,kuacha sonona kwa ndugu zao nk.Mapenzi ni mchezo wa mbinu zaidi ya zile za kijeshi.Yes. Kinachoangusha ndoa za siku hizi ni ubabe wa kila mwenza.
Mapenzi ni ujinga, lkn ukiingiza ujuaji kwenye mapenzi hutoboink.Mapenzi ni mchezo wa mbinu zaidi ya zile za kijeshi.
Ujuaji tena?Ukileta za kajua yote utalala na moccasin!Mapenzi ni ujinga, lkn ukiingiza ujuaji kwenye mapenzi hutoboi