Mnaosema wazanzibari wanaichukia sana Tanganyika na wana mipango ya kututawala, Je hamuoni teuzi kubwa wanazotupa watanganyika ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Rais ni Mzanzibari lakini anateua watanganyika bila ubaguzi, nashangaa watu wanaopiga kelele anchagua wazanzibari wengi.

Mawaziri zaidi ya 75% ni watanganyika

Mkuu wa majeshi Jwtz - Kuna kelele za mnadhimu kuwa Mzanzibari, lakini nina uhakika hata leo huyo mnadhimu akipandishwa cheo kuwa Mkuu na Mkunda akishushwa cheo kuwa Mnadhimu, basi kelele zitaongezeka maradufu.

Vyeo vingine vizito walivyomo watanganyika

Waziri mkuu
Speaker
Jaji mkuu
Wakuu wa mikoa zaidi ya 80%
Wakuu wa wilaya zaidi ya 80%
wakuu wa vyuo zaidi ya 80%
wakuu wa mashirika ya umma zaidi ya 80%

list ni ndefu sana ni watanganyika
 
Hii ni vita kama ya Quantity over Quality

Watanganyika wamechaguliwa wengi ila wazanzinbar wapo sehemu muhimu... Ambazo tayali tushapigwa bao mbali regardless ya namba ya waliopo serikalini

Mnadhimu mkuu wa jeshi ni mtanganyika??

Waziri wa fedha ni mtanganyika???

Pia watanganyika wanaochaguliwa saiv ni praise and worship team hakuna kitu wanafanya

Unatoa Nchimbi msimamo mkali unaweka Ndjembi unaweka mgogo mpole kiasilia😃😃
 
Nchimbi msimamp mkali wa jambo gani?
 
Mnadhimu ni msaidizi mkuu wa karibu wa Mkuu wa Majeshi na ni wa pili kwa ukubwa wa madaraka jeshini (Second-in-command), hakuna mtu mwenye absolute powe jeshini, si mnadhimu wala mkuu wa majeshi, kuna protokali, Mkuu wa majeshi wala mnadhimu hawezi kuamka tu siku anayotaka na kutoa amri yoyote jeshini,

Mawaziri zadi ya 70% ni watanganyika
 
Huyo ndo mtendaji mkuu hakuna kitu kinafika kwa Cdf bila kupita kwake
Ndani ya JWTZ kuna mfumo thabiti sana wa mgawanyo wa madaraka na udhibiti, tofauti kabisa na mtazamo wa watu wengi mnavyodhani kwamba kiongozi mkuu mmoja ana mamlaka ya "kifalme" au anaweza kufanya kila kitu peke yake.

Kazi ya Mnadhimu Mkuu ni kumwandalia mazingira mkuu wa jwtz, afanye maamuzi bila kupoteza muda kwenye mchakato wa maandalizi.

CDF ndiye mwenye Kauli ya Mwisho (Final Decision Maker), Pamoja na kwamba Mnadhimu ana process vitu, hana mamlaka ya kisheria au ya kijeshi kukataa amri ya CDF au kufanya maamuzi makubwa ya kimkakati (kama kupeleka majeshi vitani au kuteua viongozi wa vikosi) bila idhini ya CDF.
 
Ndani ya JWTZ kuna mfumo thabiti sana wa mgawanyo wa madaraka na udhibiti, tofauti kabisa na mtazamo wa watu wengi mnavyodhani kwamba kiongozi mkuu mmoja ana mamlaka ya "kifalme" au anaweza kufanya kila kitu peke yake.

Kazi ya Mnadhimu ni kuchuja, kuratibu, na kuhakikisha kazi zote za kiofisi na kiutendaji zimekamilika ili CDF asipoteze muda kwenye mambo hayo kwa kuwa ana majukumu mengi sana

CDF ndiye mwenye Kauli ya Mwisho (Final Decision Maker), Pamoja na kwamba Mnadhimu ana process vitu, hana mamlaka ya kisheria au ya kijeshi kukataa amri ya CDF au kufanya maamuzi makubwa ya kimkakati (kama kupeleka majeshi vitani au kuteua viongozi wa vikosi) bila idhini ya CDF.
Aliyepo chini yake nani anaweza kukataa order zake??
 
Back
Top Bottom