MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Kwa nini Wazanzibari wasirudi kwao Zanzibar wakapewe hizo nafasi
Mhalifu ni yupi mkuu anayeua raia wake akae madarakani au anayepambania haki??Ssh anawaita wanaharakati wahalifu, nchimbi anasema sarungi amauwezo mkubwa , watu kama hawa tukae nao..
Kwa sababu Nyerere baba wa taifa la Tanganyika na baadae Tanzania aliridhia wazanzibari wawe sehemu ya Tanzania na pia wawe sehemu ya Zanzibar.Kwa nini Wazanzibari wasirudi kwao Zanzibar wakapewe hizo nafasi
Turudi kwenye msingi wa awali mkuu, maana tunaenda off,Mhalifu ni yupi mkuu anayeua raia wake akae madarakani au anayepambania haki??
Umeshajijibu mkuuTurudi kwenye msingi wa awali mkuu, maana tunaenda off,
Nchimbi msimamo mkali kwenye jambo gani?
sioni ule kama ni msimamo mkaliUmeshajijibu mkuu
Msimamo mkali ukilinganisha na nani ndani ya CCM sio nje ya CCM nadhan tumechengana haposioni ule kama ni msimamo mkali
Mzee, Unaweza kum shutumu mtu kwa kitu ambacho huna uhakika nacho?Kama kweli ni mzenji, taratibu zimekiukwa maana zinataka rais na makamu watoke pande tofauti za muungano.
Naunga mkono karibu yote uliyosema,Msimamo mkali ukilinganisha na nani ndani ya CCM sio nje ya CCM nadhan tumechengana hapo
Asilimia kubwa ya waliopo ccm sasa ni praise and worship team... Wananchojua ni kusifu mama anaupiga mwingi kulinda ulaji wao na nafasi zao nani aliyediriki kuonesha hata kujutia hayo yaliyotokea 29/10
Tulud kwa issue ya umuhimu wa makamu wa Rais kwenye huu muungano wetu ambao haupo dunian kote...
Katiba inasema kama Rais atatokea upande mmoja wa muungano basi makamu wake atokee upande mwingine
Logic behind huu mgawanyo ni ipi...
Kwenye vikao vya baraza la mawaziri kuwepo na kiongozi upande kwa kila upande wa Muungano ambaye ndiye atakua na kura turufu kwa ajili ya kulinda interest za kila upande wa Muungano maana tunajua muamba ngoma huvutia kwake...
Vikao vya baraza la mawaziri ni confidential lakin kutolewa kwa Nchimbi unapata picha kua kuna namna prezidaa ameshindwa kukamilisha mambo yake ameamua kumleta mtu mwenye vinasaba vya pande zote mbili... Unadhani Ndjembi anaweza kwel kusimamia interest za Tanganyika kwenye baraza la mawaziri sahau hilo mkuu
Mange mimi sio mfuasi wake.Mzee, Unaweza kum shutumu mtu kwa kitu ambacho huna uhakika nacho?
Na wewe upo kwenye kundi la Dada Mange kasema ?
Ndani ya JWTZ kuna mfumo thabiti sana wa mgawanyo wa madaraka na udhibiti, tofauti kabisa na mtazamo wa watu wengi mnavyodhani kwamba kiongozi mkuu mmoja ana mamlaka ya "kifalme" au anaweza kufanya kila kitu peke yake.
Kazi ya Mnadhimu Mkuu ni kumwandalia mazingira mkuu wa jwtz, afanye maamuzi bila kupoteza muda kwenye mchakato wa maandalizi.
CDF ndiye mwenye Kauli ya Mwisho (Final Decision Maker), Pamoja na kwamba Mnadhimu ana process vitu, hana mamlaka ya kisheria au ya kijeshi kukataa amri ya CDF au kufanya maamuzi makubwa ya kimkakati (kama kupeleka majeshi vitani au kuteua viongozi wa vikosi) bila idhini ya CDF.
Unakumbuka enzi za kikwete na makamu wake??Naunga mkono karibu yote uliyosema,
Ila kwenye logic ya makamu na rais kutoka pande tofauti naona ni katika hali ya kudumisha umoja tu, maana kikawaida cheo cha makamu hua mara nyingi ni geresha
Nchimbi katoa clue chache kubwa aliyoitoa tunaweza sema katuambia "rais hashauriki"
Hao wote uliowataja wapo zanzibar na wanateuliwa na rais wa zanzibarRais ni Mzanzibari lakini anateua watanganyika bila ubaguzi, nashangaa watu wanaopiga kelele anchagua wazanzibari wengi.
Mawaziri zaidi ya 75% ni watanganyika
Mkuu wa majeshi Jwtz - Kuna kelele za mnadhimu kuwa Mzanzibari, lakini nina uhakika hata leo huyo mnadhimu akipandishwa cheo kuwa Mkuu na Mkunda akishushwa cheo kuwa Mnadhimu, basi kelele zitaongezeka maradufu.
Vyeo vingine vizito walivyomo watanganyika
Waziri mkuu
Speaker
Jaji mkuu
Wakuu wa mikoa zaidi ya 80%
Wakuu wa wilaya zaidi ya 80%
wakuu wa vyuo zaidi ya 80%
wakuu wa mashirika ya umma zaidi ya 80%
list ni ndefu sana ni watanganyika
Wewe na Ssh mpo upande ambao ni hatari kwa maslahi ya Tanganyika, sasa hiyo 6 kwenu ni 9 na Upande wa haki tunaendelea kuiona 6.Ssh anawaita wanaharakati wahalifu, nchimbi anasema sarungi amauwezo mkubwa , watu kama hawa tukae nao..
Ulliyetoa mada hii unatatizo la afya ya akili wahi haraka clinic!!Rais ni Mzanzibari lakini anateua watanganyika bila ubaguzi, nashangaa watu wanaopiga kelele anchagua wazanzibari wengi.
Mawaziri zaidi ya 75% ni watanganyika
Mkuu wa majeshi Jwtz - Kuna kelele za mnadhimu kuwa Mzanzibari, lakini nina uhakika hata leo huyo mnadhimu akipandishwa cheo kuwa Mkuu na Mkunda akishushwa cheo kuwa Mnadhimu, basi kelele zitaongezeka maradufu.
Vyeo vingine vizito walivyomo watanganyika
f
Waziri mkuu
Speaker
Jaji mkuu
Wakuu wa mikoa zaidi ya 80%
Wakuu wa wilaya zaidi ya 80%
wakuu wa vyuo zaidi ya 80%
wakuu wa mashirika ya umma zaidi ya 80%
list ni ndefu sana ni watanganyika
Shein au bilal, nipe mkasa nitaufatiliaUnakumbuka enzi za kikwete na makamu wake??
Mimi nimesimulia tu, na kuhusi kua upandw wa ssh, nipo upande wa ssh mpaka atakapoiua ccm --- na kimsingi bado kidogo sanaWewe na Ssh mpo upande ambao ni hatari kwa maslahi ya Tanganyika, sasa hiyo 6 kwenu ni 9 na Upande wa haki tunaendelea kuiona 6.
Nikuulize ubaya wa Sarungi ni upi?
ccm ishajichokea ni gari bovuShein au bilal, nipe mkasa nitaufatilia
Mimi nimesimulia tu, na kuhusi kua upandw wa ssh, nipo upande wa ssh mpaka atakapoiua ccm --- na kimsingi bado kidogo sana
Wewe nashindwa jina la kukupa.Rais ni Mzanzibari lakini anateua watanganyika bila ubaguzi, nashangaa watu wanaopiga kelele anchagua wazanzibari wengi.
Mawaziri zaidi ya 75% ni watanganyika
Mkuu wa majeshi Jwtz - Kuna kelele za mnadhimu kuwa Mzanzibari, lakini nina uhakika hata leo huyo mnadhimu akipandishwa cheo kuwa Mkuu na Mkunda akishushwa cheo kuwa Mnadhimu, basi kelele zitaongezeka maradufu.
Vyeo vingine vizito walivyomo watanganyika
Waziri mkuu
Speaker
Jaji mkuu
Wakuu wa mikoa zaidi ya 80%
Wakuu wa wilaya zaidi ya 80%
wakuu wa vyuo zaidi ya 80%
wakuu wa mashirika ya umma zaidi ya 80%
list ni ndefu sana ni watanganyika
Msingemtoa kama angekuwa Yes Yes madam, mkuu, Mheshimiwa.Nchimbi msimamp mkali wa jambo gani?
Ulitakaje ???Mnadhimu ni msaidizi mkuu wa karibu wa Mkuu wa Majeshi na ni wa pili kwa ukubwa wa madaraka jeshini (Second-in-command), hakuna mtu mwenye absolute powe jeshini, si mnadhimu wala mkuu wa majeshi, kuna protokali, Mkuu wa majeshi wala mnadhimu hawezi kuamka tu siku anayotaka na kutoa amri yoyote jeshini,
Mawaziri zadi ya 70% ni watanganyika