Mnaosema wazanzibari wanaichukia sana Tanganyika na wana mipango ya kututawala, Je hamuoni teuzi kubwa wanazotupa watanganyika ?

Mnaosema wazanzibari wanaichukia sana Tanganyika na wana mipango ya kututawala, Je hamuoni teuzi kubwa wanazotupa watanganyika ?

Mnadhimu ni msaidizi mkuu wa karibu wa Mkuu wa Majeshi na ni wa pili kwa ukubwa wa madaraka jeshini (Second-in-command), hakuna mtu mwenye absolute powe jeshini, si mnadhimu wala mkuu wa majeshi, kuna protokali, Mkuu wa majeshi wala mnadhimu hawezi kuamka tu siku anayotaka na kutoa amri yoyote jeshini,

Mawaziri zadi ya 70% ni watanganyika
Asilimia ngapi ya watanzania ni watanganyika?

Amandla...
 
Ndani ya JWTZ kuna mfumo thabiti sana wa mgawanyo wa madaraka na udhibiti, tofauti kabisa na mtazamo wa watu wengi mnavyodhani kwamba kiongozi mkuu mmoja ana mamlaka ya "kifalme" au anaweza kufanya kila kitu peke yake.

Kazi ya Mnadhimu Mkuu ni kumwandalia mazingira mkuu wa jwtz, afanye maamuzi bila kupoteza muda kwenye mchakato wa maandalizi.


CDF ndiye mwenye Kauli ya Mwisho (Final Decision Maker), Pamoja na kwamba Mnadhimu ana process vitu, hana mamlaka ya kisheria au ya kijeshi kukataa amri ya CDF au kufanya maamuzi makubwa ya kimkakati (kama kupeleka majeshi vitani au kuteua viongozi wa vikosi) bila idhini ya CDF.
Maafisa wote wakubwa wa jeshi wanaripoti kwa rais moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom