Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

TUNAONGELEA AFRICA....
Hayo ya Spain au Ulaya hayatuhusu...
Simba ni kubwa.
 
Kuna kitu kama umefatilia kwa makini CAF wamekuja kufaham currently Tanzania wanapenda sana Mpira yawezekana kuliko hata huko kanda zingine sa wanachokifanya siku hizi kwenye kila kitu utakuta Team ya Tanzania.
Mfungaji wa goli bora lazima team ya Bongo awepo coz wanataka fanbase wengi kwenye platforms zao za social media coz wabongo tupo vizur sana kwenye issue za mitandao ya kijamii.
Kama unapinga angali hata Kuna Journalist mmoja anaitwa MickyJr huyu siku hizi huwez kosa taarfa ya soka ya Team za Tz,na zote ni Simba na Yanga tu na hizi zimempa Followers wengi sana na yeye kajua hilo daily lazima azizungumzie.
So hilo linatumika ki biashara mkuu zinduka.
 
Huna hoja chuki tu mjinga mmoja .
 
Huna hoja chuki tu mjinga mmoja .
Nimeona mtoa mada akijaribu kujibu jibu hoja ila naona angeanza kujiita yeye CHIZI.

Anaweka title ya UKUBWA wa timu kisha anazungumzia UGUMU wa Atletico Madrid, uchizi unaanzia hapa nadhani.
  • Atletico, unasema ni timu kubwa au ngumu?
  • Unazungumzia UGUMU au UKUBWA?

Simba, ni miongoni mwa timu 8 bora zilizobaki kwenye michuano ya KLABU BINGWA AFRICA, kama UGUMU, unazungumzia walishindwa CL wakaenda CC, sababu kuna waliotoka kabisa CL bila kwenda CC.

Atletico sio timu kubwa ulaya, Simba ni timu kubwa AFRICA.
 
Timu kubwa Ni Yanga. Simba Ni timu ndogo!

Moyo wako utulie Sasa!

Sema watu wa Yanga hamjui namna ya kuipambania brand yenu badala yake mnaipambania Simba bila kujua mkidhani mnaishusha!

Simba[emoji123]
 
Kama linatumika kibiashara mbona timu yako utopolo haijawekwa kumi bora kama simba au utopolo haina mashabiki wengi kama simba?
Saa nyingine ushabiki unamfanya mtu kuwa mpumbavu.
 
Zilianza mashindano zaidi ya timu 70 zikabaki 8.

Kuna wakati lazima ufikiri kwanza ndiyo uongee!

Ila wengi humu hasa Utopolo kwa kukosa maarifa huongea kwanza halafu baadae ndiyo anafikir.
UEFA Zinaanzaga Team ngapi na Atletico hua inafika hadi wapi?
Lakini inabaki kua Team Ngumu sio kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…