THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #61
Robo fainali nayo ni mafanikio??Ulaya ni Ulaya na Afrika ni Afrika ukubwa wa Simba barani Afrika unatokana na mazingira na aina ya timu zilizoko barani Afrika ,na udogo wa A.madirid umetokana na mazingira ya Ulaya na timu zilizopo barani humo.
Na ndio maana A.Madirid hata kwenye kumi bora ya virabu bora barani Ulaya haimo lakini Simba iko kwenye nafasi ya 9 kwa ubora barani Afrika.
Weka ushabiki wako wa Utopolo pembeni twende kwa data ,katika ukanda wa Afrika mashariki na kati ukiitoa Mazembe hakuna timu nyingine ya kuifikia kwa mafanikio Simba katika mashindano ya CAF kama ipo itaje.
Ni upumbavu wa hali ya juu kubeza mafanikio ya mwenzako hali ya kuwa ww hayo mafanikio hujawahi kuyafikia.
Yaani unambeza aliye feri mtihani kidato cha sita hali ya kuwa ww umefeli mtihani wa darasa la saba?
Kama ingekuwa ni rahisi kufika hiyo robo fainal basi utopolo wangekuwa wanafika kila mwaka kama anavyo fanya simba.
Kama Simba ni timu ndogo kisa kuishia robo fainal vipi kuhusu timu yako kinyesi fc ambayo haijawahi kuinusa hiyo robo fainal tangu kuanzishwa kwake miaka 80.
Kweli aliye kuwa kocha wenu hakukosea kuwaita manyani.
Umetolea mfano wakufeli mtihani wa Form six halaf mi nimefeli mtihani wa darasa la saba nitakucheka tu kwa sababu we pamoja na form six yako utakua na nini endapo ukirudi huku unaniomba mi 5000 ambae nilifeli mtihani wa la 7.
Mkuu ipo hivi hakunaga kusifiwa kwa kuishia njiani maliza safari ndio usifiwe.
Na kitu kinachodhibitisha we chizi ni kua now ni misimu mitatu simba inakomea Robo huu si uchizi yani ni sawa kila mtihani unakua wa 10 halaf unajisifia we kichwa CHIZI kweli.
Mkuu ipo hivi simba kacheza mashindano yote hadi ambayo mnayaita ya luza ila pote kaishia Robo huku kwa Luza hata Nusu hakufika Yanga iliyofufuka Chini ya Hersi Msimu mmoja imefeli Ndio kwenda makundi Caf Champions ila ndani ya msimu huo mmoja inaonyesha dalili ya kufika Nusu.
Je Hii yanga ikikaa hivi unazani itafanya upuuzi kama wa simba kila msimu Caf Campions itakua inaishia Robo?
#NENDA MILEMBE