Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

Kwanza kuwa na adabu mm sio shoga yako bali mm ni mmeo ambaye ninaweza kukutembezea miti ww na dada zako wote walioko kwenye ukoo wenu na nikawapa mimba so punguza dharau.

Turudi kwenye mada kwa hiyo Yanga ni timu ndogo?
 
We Mama unampatia Makolokolo za uso hadi kavimba uso kwa manundu kama kang'atwa na nyigu [emoji847]
 
Vipi kuhusu PSG, Arsenal,Man city nazo ni timu ndogo kisa hazijawahi kuchukua ubingwa wa UEFA?
Hii battle ndio hua naipenda sa nikuulize Man City utamuweka meza moja na Man U au PSG utamuweka Level Moja na Chelsea kwenye level ya kimataifa?
Mkuu angalia Man City kacheza Fainal Juzijuzi tu ya UEFA the samw kwa PSG ila wote wali loose kombe hilo na Ndio maana mashabiki wa Man u ikitokea wanachekwa na Man City hua wanawauliza weken UEFA yenu mezani.
Na mashabiki wa Man City hutawasikia wanajisifia wamecheza fainal currently tuachen upopoma.
#CHIZI
 
Hii umepiga ngumi kali mnoo
 
Ungekuwa sahihi iwapo Simba isingekuwepo kwenye top 10 za club bora Africa.
 
Ungekuwa sahihi iwapo Simba isingekuwepo kwenye top 10 za club bora Africa.
sidhani kama takwimu tukizifanya sawa simba itakua ya 10 sifikirii hilo na haliwez kua hivo.
 
Kama first born unaakilinza hivyo hivi..hao waliokufatia nawahurumia..Imesemwa klabu kubwa afrika wewe unaleta mifano ya ulaya.
 
Kama first born unaakilinza hivyo hivi..hao waliokufatia nawahurumia..Imesemwa klabu kubwa afrika wewe unaleta mifano ya ulaya.
Nahisi umesoma shule za tanzania na kwenye mitihani ulikua unafanya maswali ya Compare and Contrast sa hapo huelewi nini??
#CHIZI🦁
 
sidhani kama takwimu tukizifanya sawa simba itakua ya 10 sifikirii hilo na haliwez kua hivo.
Unafanya takwimu wewe na nani? Takwimu zinafanywa na taasisi za soka zilizopewa dhamana Africa sio wewe na wenzako.
 
SIMBA NI TIMU KUBWA acha WIVU na CHUKI leo YANGA inahangaika kucheza NUSU FAINAL tena SHIRIKISHO wakati SIMBA ilishacheza FAINAL SIMBA hiyo hiyo Ilikwishacheza NUSU FAINAL Klabu BINGWA AFRIKAAcha kuifananisha SIMBA na Timu yoyote ya BONGO
 
Reactions: BRN
sidhani kama takwimu tukizifanya sawa simba itakua ya 10 sifikirii hilo na haliwez kua hivo.
Mwenye mamlaka ya kupanga takwimu ni CAF na sio ww tuachage ushabiki wa mihemko.
 
Reactions: BRN
Timu kubwa Ni Yanga. Simba Ni timu ndogo!

Moyo wako utulie Sasa!

Sema watu wa Yanga hamjui namna ya kuipambania brand yenu badala yake mnaipambania Simba bila kujua mkidhani mnaishusha!

Simba[emoji123]
Brand ya Yanga siku zote imekuwa ikipambaniwa kwa kushinda mataji na sio PA za mtandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…