Mnaosujudu Israel, ni kipi hasa kinachofanya mlione ni taifa lenye watu wenye akili zaidi duniani?

Mnaosujudu Israel, ni kipi hasa kinachofanya mlione ni taifa lenye watu wenye akili zaidi duniani?

Tatizo ni kwamba kila mtu unayeona amefanya mambo makubwa chimbuko lake ni huko.

Ukitaja watu matajiri au wenye ushawishi na wenye uvumbuzi wa teknolojia chimbuko lao ni Israel.

Hivi unajua teknolojia ya Artificial Intelligence ilivyopindua meza kwenye masuala ya uendeshaji mitambo?

Unajua mvumbuzi wake ni asili ya wapi? Mark Zuckerberg unajua asili yake wapi?

A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Nb. Siwaabudu Israel
Uwezo wa akili wa mwanadamu unapimwa kutokana na ufanisi katik kupambana na mazingira ili aweze kusurvive. Kwa msingi huo kila mtu ana akili kwa context ya mazingira yake. Mfano, huyo Muisrael sababu yeye ni jamii ambayo imeteswa, imetengwa na kuuliwa, so walihitaji kufanya waliyoyafanya ili waweze kusurvive. Na sasa anaishi middle east ambapo yupo kwenye hostile area, so inabidi apambane kwa kuwa na teknolojia za kumlinda dhidi ya mashambulizi mfano Iron Dome sababu ndio hitaji la mazingira yake au awe na silaha kali za kuwashambulia maadui zake, ndio maana anatengeneza silaha za masafa marefu kama hizo Ballistic Missiles.

Pia muhadzabe anayeishi kule Singida naye anaakili za kuishi katika mazingira yake, hivyo anateknolojia yake ya kutengeneza mikuki imara ya kuwindia na kuweza kwenda mbali (hii ndio Ballistic Missiles yake) ,sasa huyu awe na Iron Dome ya kazi gani wakati mazingira hayajamlazimu? Huyo myahudi unayesema ana akili, ukimuweka Porini Amazon, hawezi kuishi hata siku mbili, lakini mtu wa kabila la kayapo aliyeishi hapo miaka zaidi ya 1,000 atakuwa na akili zaidi yake. So, akili kila jamii inazo, na haipo iliyo bora kuliko mwenzake. Ukisema myahudi anaakili kuliko muhadzabe sababu ametengeneza Iron Dome, ni sawa na kusema simba ana maarifa zaidi ya samaki kisa tu anaweza kupanda mti.
 
Kwa nini wawape Israel hizo pesa kwa nini wasiwape Tanzania ama Kenya. Tuanzie hapo...
Kwasababu nchi inayoongoza kuwa na wayahudi wengi duniani ni Marekani na ndio matajiri wakubwa. Huko hapo?

God bless and protect Israel.
 
Binafsi SI MSUJUDU WA Israel Wala Taifa lolote...

ILA....

Ninawaheshimu na kuwaADMIRE sana WAYAHUDI regardless ya mambo ya DOLA YAO juu ya wengine...hayo ni kawaida kutofautiana katika POLICIES kwani sisi sote ni BINADAMU na mkamilifu ni MWENYEZI MUNGU PEKEE....

Binafsi nina marafiki wengi ambao ni MAYAHUDI waishio marekani na ambao ni RAIA WA MAREKANI.

Watu wengi hawajui kuwa MAYAHUDI wako wengi na wanatofautiana DINI na mitizamo ya KISIASA ya DOLA LAO....

Wako marafiki zangu wa kiyahudi ambao hawana DINI(atheists).
Hapa kuna WANASAYANSI na WALIBERALI NGULI.

Wako marafiki zangu wayahudi ambao wana DINI ya KIYAHUDI lakini ni AGNOSTIC na wasioiishi dini yao kivitendo.

Wako marafiki zangu wayahudi ambao wanafuata DINI YAO stritcly kivitendo...hapa wako wale NETURAI KARTA(wanaoona kuwa David Ben Gurion,Moshe Dayan na kina Benyamin Netanyahu WALIKOSEA na WANAKOSEA kuanzisha TAIFA LAO HURU...wao wanaamini kuwa MUNGU MWENYEZI hajamtuma MKOMBOZI WAO kuwaambia hayo....

Wako marafiki zangu wayahudi WASIO NA DINI kabisa na ambao wanapinga uanzishwaji wa TAIFA HILO.....
hivi wayahudi na waarabu tifauti yao nini?
 
WAYAHUDI KISIASA wako hivyo nilivyoeleza HAPO JUU....

Unapoongelea kuwa VICTIM wa DOLA ZOTE KUBWA zilizopata kuwepo duniani basi utaonekana ni WA AJABU KULIKATAA hilo....

Wayahudi ndio BINADAAMU waliopata MADHILA makubwa NA YA MUDA MREFU MNO pengine kushinda WENGINE WOTE DUNIANI...

Historia inaonesha kuwa:

1.WALIUAWA na bado WANAUAWA.

2.WALITESWA na bado WANATESWA(huteswa na WANADINI NYINGINE,huteswa na WASIOAMINI DINI,huteswa na WABAGUZI WA SIASA KALI ZA MRENGO WA KULIA na hata baadhi ya wale wa mrengo wa kushoto).

3.WALITENGWA na bado WANATENGWA.

4.WALIBAGULIWA NA BADO WANABAGULIWA.

[emoji115][emoji115][emoji115]

Chuki za maadui zao zimegawanyika kama ifuatavyo:

Wale WENYE DINI "wanawaonea" wivu kwa MUNGU MWENYEZI kuwapendelea wayahudi.Hawa wanadini Nyingine nao ni watu DEDICATED kwa MUNGU MMOJA WANAOMUAMINI....ikumbukwe WAKRISTO,WAISLAM NA WAYAHUDI wanaamini MUNGU HUYOHUYO(majina tofauti tu).

Hawa wakristo na waislam historia yao inaanzia katika CHIMBUKO moja na hawa WAYAHUDI.
hata mtu mweusi pia kapitia mengi e.g ukoloni na biashara ya utumwa
 
hivi wayahudi na waarabu tifauti yao nini?
They are cousins....

Tofauti yao ni damu tu....babu Yao mmoja....baba zao tofauti....

Waarabu ni kizazi cha Ismaili....
Wayahudi ni kizazi cha Issack...

Lugha zao zinafanana(Aramaic ,Hebrew and Arabic).....

Tamaduni zao zinafanana.....

Imani zao zinafanana na tofauti ni ndogo sana.....

Yetzer ha-tov(good will)
 
Anayebisha kuwa watu wenye ASILI YA PALE JERUSALEM KIHISTORIA hawana uwezo mkubwa kuzidi wengine katika NYANJA za UVUMBUZI,TEKNOLOJIA,SAYANSI,BIASHARA KUBWA na MFUMO WA FEDHA DUNIANI basi huyo atakuwa ana "MBANGO TU".....

Wayahudi wamewazidi wengine kwa sababu ya HISTORIA YAO YA KUTESWA KUUWAWA NA KUKANDAMIZWA duniani....

Wayahudi wamewazidi wengine(inavyoaminika kuwa WALICHAGULIWA NA MUNGU MWENYEZI)nami pia SILIPINGI HILI...

Kwani wote niliokutana nao maishani ima wawe na dini ama laa bali HUAKISI UKWELI HUO wa AKILI NYINGI,ADABU NA NIDHAMU YA MAISHA(muda,afya,,mali,mazingira),FIKRA TUNDUIZI, DEDICATION YA MAISHA BORA kwa mawanda na upana wa ajabu mno kuliko ETHNICITIES NYINGI(wazungu,waarabu,wachina,wahindi,waafrika hata kama watu hawa wana elimu na utajiri mkubwa).
[emoji115][emoji115][emoji115]
Nimejikuta NINAWAPENDA NA KUWAADMIRE SANA wayahudi na si kwamba NINAWAABUDU hasha lillahi....

Allahu a'alam(Mungu Mwenyezi ni mjuzi haswa).



Muuza Al Kasus
Tandale Mtogole
wayahudi wana nidhamu ya maisha kivipi?
 
hata mtu mweusi pia kapitia mengi e.g ukoloni na biashara ya utumwa
Sawa.....

Mtu mweusi hajapitia UTUMWA NA UKOLONI kwa muda mrefu.....

Wayahudi wamepitia utumwa miaka mingi mno(400 years) karne kibao nyuma.....

Wayahudi wamepitia UKOLONI karne nyingi mno....WARUMI waliwafanya vibaya mno....WAHISPANIOLA waliwafanya vibaya mno.....WAGIRIKI waliwafanya vibaya mno......

Wayahudi wamekuwa maadui na waonevu wa kila RANGI......

Yetzer ha-tov
 
They are cousins....

Tofauti yao ni damu tu....babu Yao mmoja....baba zao tofauti....

Waarabu ni kizazi cha Ismaili....
Wayahudi ni kizazi cha Issack...

Lugha zao zinafanana(Aramaic ,Hebrew and Arabic).....

Tamaduni zao zinafanana.....

Imani zao zinafanana na tofauti ni ndogo sana.....

Yetzer ha-tov(good will)
na ni wazuri kweli kweli
 
hata waarabu pia hiyo wanayo
...ndio maana nikakuambia kuwa wanafanana ila tu tofauti Yao iko hapa.....

Waarabu wameitunza tamaduni yao bila ya kupata misukosuko......walibaki kwao majangwani kwa muda mrefu...majangwa ya kutoka bahari ya shamu mpaka mito ya Tigris na Euphrates......

Wayahudi walitunza tamaduni zao mikononi mwa Hitler na Himmler huko katika makambi ya mateso na mauaji(Bergen ,Auswitchz &Birkenau).....kwa kuwa waliishi na tamaduni tofauti ,ikawaongezea UPEO MKUBWA MNO KUSHINDANA RACES nyingine....
 
...ndio maana nikakuambia kuwa wanafanana ila tu tofauti Yao iko hapa.....

Waarabu wameitunza tamaduni yao bila ya kupata misukosuko......walibaki kwao majangwani kwa muda mrefu...majangwa ya kutoka bahari ya shamu mpaka mito ya Tigris na Euphrates......

Wayahudi walitunza tamaduni zao mikononi mwa Hitler na Himmler huko katika makambi ya mateso na mauaji(Bergen ,Auswitchz &Birkenau).....kwa kuwa waliishi na tamaduni tofauti ,ikawaongezea UPEO MKUBWA MNO KUSHINDANA RACES nyingine....
bila shaka waarabu ni wengi kuliko wayahudi....wanazaliana sana.vipi kuhusu hao makabila mengine ya Israel
 
bila shaka waarabu ni wengi kuliko wayahudi....wanazaliana sana.vipi kuhusu hao makabila mengine ya Israel
Waarabu wanaonekana kuwa wengi kwa kuwa WALIBAKI BARA ARABIA toka mwanzo wao.....

Wayahudi wengi sana walisambaa duniani....Kuna damu ya kiyahudi nyingi sana ULAYA YA MASHARIKI(URUSI SANA)....Spain ,Italy ,Portugal ,Amerika ya Kusini (Brazil ,Argentina ,Honduras ,Chile , Uruguay ,Colombia etc....

Afrika hii imejaa....Ethiopia ,Zambia,Nigeria na Zimbabwe....

India na far east......
 
Waarabu wanaonekana kuwa wengi kwa kuwa WALIBAKI BARA ARABIA toka mwanzo wao.....

Wayahudi wengi sana walisambaa duniani....Kuna damu ya kiyahudi nyingi sana ULAYA YA MASHARIKI(URUSI SANA)....Spain ,Italy ,Portugal ,Amerika ya Kusini (Brazil ,Argentina ,Honduras ,Chile , Uruguay ,Colombia etc....

Afrika hii imejaa....Ethiopia ,Zambia,Nigeria na Zimbabwe....

India na far east......
hivi hawa waarabu wa bongo walifikaje hapa bongo?
 
hivi hawa waarabu wa bongo walifikaje hapa bongo?
Wako WAYEMENI(mabulushi) hawa waliingia miaka mingi nyuma baada ya karne 7 kuchukua MIKOKO, NA BIDHAA NYINGINE mwambao mwa Tanganyika na visiwa vya Zanzibar na Pemba.....Baadae wakawa wanaleta bidhaa kama nguo ,uturi na vyombo vya vigae......

WAOMANI....hawa waliingia baadae kabisa....nao walifanya biashara nilizoainisha hapo juu....wakanogewa na KUPIGANIA kuyatawala maeneo ya mwambao mwa TANGANYIKA ,Zanzibar na Oman....waliyachukua na kuwa chini yao baadaye SULTAN WAO akayageuza kuwa MAKAO YAKE MAKUU......
 
Back
Top Bottom