FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwanza niwapongeze kwa moyo wenu wa kujitoa katika kuwasaidia watu wasiojiweza (walemavu wa viungo) ambapo huwa mnawasukuma kwenye maeneo mbali mbali ili basi walau waweze kupata msaada wa chochote kitu ili maisha yaende, na hapa simsemi mtu vibaya, maana hujafa hujaumbika.
Ila mimi nilikuwa nashauri tu, kwamba badala ya kuwasukuma siku nzima ambapo pesa inayopatikana ndio mnanyang’anyana na huyo mlemavu, na pia bila kusahau kwamba mmiliki wa baiskeli nae jioni anataka hesabu kama daladala inavyopeleka hesabu, ni kwanini tu msifanye vibarua flani flani basi walau ipatikane pesa ya uhakika zaidi na ya kutosha kuliko kubangaiza mia 5 mia 5 ambazo si za uhakika sana.
Nashauri tu, kwani wadau mnasemaje?
================================
Update: 02/01/2021
www.jamiiforums.com
=================================
Update: 03/02/2021
www.jamiiforums.com
==================================
Update: 04/01/2021
www.jamiiforums.com
==================================
Update: 05/01/2021
Kamata kamata ya wanaofanya biashara haramu ya kuweka walemavu kmabini na kuwatumikisha kazi za kwenda kuomba
==================================
Update: 09/03/2022
Ila mimi nilikuwa nashauri tu, kwamba badala ya kuwasukuma siku nzima ambapo pesa inayopatikana ndio mnanyang’anyana na huyo mlemavu, na pia bila kusahau kwamba mmiliki wa baiskeli nae jioni anataka hesabu kama daladala inavyopeleka hesabu, ni kwanini tu msifanye vibarua flani flani basi walau ipatikane pesa ya uhakika zaidi na ya kutosha kuliko kubangaiza mia 5 mia 5 ambazo si za uhakika sana.
Nashauri tu, kwani wadau mnasemaje?
================================
Update: 02/01/2021
Video: Baada ya DC wa Arusha kuchapa watu bakora, Naibu waziri naye afuata nyayo kwa kutembeza bakora kwa wanaoendesha walemavu kwa maslahi yao
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayehughulikia watu wenye Ulemavu, Mhe.Ummy Ndeliananga akitembeza bakora kwa watu wanaohusika kuwaendesha watu wenye ulemavu kuomba FEDHA barabarani kwa maslahi yao Binafsi kinyume cha Sheria na Haki za Binadamu. Ni kwa kile alichodai kuwa wanawatoza walemavu...
=================================
Update: 03/02/2021
Naibu Waziri Ummy agundua "lockdown" ya walemavu Tandale
Naibu Waziri Ummy Nderiananga amegundua gesti bubu maeneo ya Tandale ambako walemavu wamehifadhiwa huko kwa minajili ya kufanywa kitega uchumi. Mmiliki wa gesti hizo amekimbia baada ya kujua Serikali imegundua dangulo hilo. Mwisho operesheni hiyo imeenda sambamba na kuwakamata na kuwachapa...
==================================
Update: 04/01/2021
Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale
Kila siku wanatoka kuomba mtaani na kumletea mapato jioni. Malipo yao hupewa tu chakula na malazi. Walemavu hao amewakusanya kutoka mikoa mbali mbali Tanzania. My take: Watani zangu wachaga tuangalie njia zetu za utafutaji tusifikirie tu kwenda kuweka heshima Disemba nyumbani. Chanzo: TBC...