Mnaosukuma walemavu wa viungo kwenye baiskeli kuomba msaada, ni vyema hiyo nguvu mkaitumia kufanya kazi ili muweze kuwasaidia kwa uhakika hao walemavu

Mnaosukuma walemavu wa viungo kwenye baiskeli kuomba msaada, ni vyema hiyo nguvu mkaitumia kufanya kazi ili muweze kuwasaidia kwa uhakika hao walemavu

Update: 05/01/2021
Kamata kamata ya wanaofanya biashara haramu ya kuweka walemavu kambini na kuwatumikisha kazi za kwenda kuomba

Mkuu, kuna makala fulani waliioa mwananchi kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi.
Hao ombaomba wanamilikiwa na watu fulani, huyo msukumaji ni kubarua tu, analipwa kwa siku au mwezi. Wote hupangiwa chumba guest house na kuishi hapo.
Jioni boss hufuata hesabu yake kama kawaida. Kwa ufupi ni biashara za watu kabisa. Na hupata kuanzia 50k mpaka 150k kutegemea na msimu na maeneo wanayopita au mji wanaoishi.

Ilishawahi kuandikwa
 
Back
Top Bottom