Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Wewe unafaa kupigwa. Huenda ni mmoja kati ya wanufaikaWe toa pesa yupo kazini...hiyo ni Kazi Kama Kazi nyingne , matumiz ni juu yake ata akinywa bia au kununua malaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unafaa kupigwa. Huenda ni mmoja kati ya wanufaikaWe toa pesa yupo kazini...hiyo ni Kazi Kama Kazi nyingne , matumiz ni juu yake ata akinywa bia au kununua malaya
Kwani huwa unalazimishwa kutoa msaadaWewe unafaa kupigwa. Huenda ni mmoja kati ya wanufaika
Wapi nimesema nalazimishwaKwani huwa unalazimishwa kutoa msaada
Kuna mmoja namuonaga pale kituo cha mwendokasi kimara mwisho amekaa kwenye kiti cha walemavu anaomba..cha kushangaza anamiliki smartphone mpya...huwa anavizia kama hakuna wapita njia anaitoa anakuwa anaperuzi, akiona mpita njia anaificha..me nilimuotea jana,nikabaki kushangaa tu.
Naona ameshareply hapo juu tayariNi member mzuri wa JF huyo, anakuzoom tu!
Huyo Naibu Waziri Kama kweli anapenda hao walemavu wapate haki zao asiishie kuchapa hao wasukumaji, apambane kuweka Sheria ya watoto walemavu kujengewa shule za boarding Kila wilaya zitakazotambulika kwaajili ya watoto walemavu peke yao, wakae huko wasome na hizo shule ziruhusiwe kukusanya sadaka kwa wanaojisikia kusaidia hao watoto, likizo wawe wanaruhusiwa kujumuika na jamaa zao, Sasa hapo wakiwa watu wazima yaani badala ya miaka 18 wao waongezewe iwe 25 kutambuliwa utu uzima, Sasa kuanzia 26 mlemavu huyo asiruhusiwe kutembea kuombaomba mtaani iwe ni kosa kisheria atumie taaluma yake kujiingizia kipato, na umri wa chini huo wawe shule maalumu pia iwe Sheria na lazima na misaada na sadaka zipelekwe huko kwenye shule zao.
Naona ameshareply hapo juu tayari
Kwanini uwapingei matumiz sasaWapi nimesema nalazimishwa
Kwani hakuna vibaka hapo wakaipitia? Wakati mwingine wanafanya wale wenye uhitaji washindwe kusaidiwaKuna mmoja namuonaga pale kituo cha mwendokasi kimara mwisho amekaa kwenye kiti cha walemavu anaomba..cha kushangaza anamiliki smartphone mpya...huwa anavizia kama hakuna wapita njia anaitoa anakuwa anaperuzi, akiona mpita njia anaificha..me nilimuotea jana,nikabaki kushangaa tu.
kama yule wa pale Gerezani mwendokasi unajikuta tu unapima uzito kumpiga tafuMimi siwezi kusaidia hata kidogo aina hiyo ya watu.
Mi napenda wale walemavu ambao wanapiga mishe kibishi sometime huwa nawanunuza vitu hata kama sina uhitaji navyo
AiseeeWale walemavu mnaowaoma wapo mjini wakiomba uku wakiwa wanasukumwa na wababa wanguvu,kumbuka wale wamekodishiwa zile baiskeli,kila jioni wanatakiwa kurejesha kwa mwenye baiskeli kila siku Tsh.7000/= .utafiti nilioufanya ni kwamba kuna baadhi ya watu wamejiongeza kwa kununua baiskelii nyingi za walemavu na kukodi nyumba maeneo ya manzese.hiyo nyumba kawapa hao walemavu na waendeshaji.kumbuka hao walemavu wanatafutwa na kuletwa kutoka uko mikoani .na wasukumaji wao poa wengi uletwa toka mokoani,ndio maana ukiwatazama vizuri wale wanaosukuma zile baiskeli unawaona wana ushamba fulani,kwani nao walipochukuliwa uko mkoani waliaidiwa kazi nono wakifika Dar,matokeo yake wakija hapa wanaambiwa kazi yenyewe ni hii kumsukuma mlemavu.matokeo yake inawalazimu kukubali kwani wakishapata pesa nyingi wanatoa hesabu ya mwenye nyumba na baiskeli kinachobaki wanagawana.Kwa hiyo ndugu zangu kuna watu wapo hapa mijini wanaangalia fursa na wanajua kuzitumia.nafikiri suala ilo nitakuwa nimewafumbua masikio wengi umu ndani.
Kinondoni kuna mtu anawakodisha na magomeni pia naona ndy jzi hapa waziri alivamia hizo sehemuWale walemavu mnaowaoma wapo mjini wakiomba uku wakiwa wanasukumwa na wababa wanguvu,kumbuka wale wamekodishiwa zile baiskeli,kila jioni wanatakiwa kurejesha kwa mwenye baiskeli kila siku Tsh.7000/= .utafiti nilioufanya ni kwamba kuna baadhi ya watu wamejiongeza kwa kununua baiskelii nyingi za walemavu na kukodi nyumba maeneo ya manzese.hiyo nyumba kawapa hao walemavu na waendeshaji.kumbuka hao walemavu wanatafutwa na kuletwa kutoka uko mikoani .na wasukumaji wao poa wengi uletwa toka mokoani,ndio maana ukiwatazama vizuri wale wanaosukuma zile baiskeli unawaona wana ushamba fulani,kwani nao walipochukuliwa uko mkoani waliaidiwa kazi nono wakifika Dar,matokeo yake wakija hapa wanaambiwa kazi yenyewe ni hii kumsukuma mlemavu.matokeo yake inawalazimu kukubali kwani wakishapata pesa nyingi wanatoa hesabu ya mwenye nyumba na baiskeli kinachobaki wanagawana.Kwa hiyo ndugu zangu kuna watu wapo hapa mijini wanaangalia fursa na wanajua kuzitumia.nafikiri suala ilo nitakuwa nimewafumbua masikio wengi umu ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Miaka ya 2000 nilikuwa napiga kazi uparen huko Usangi ....akaja ombaomba mmoja wale wa kubuluz miguu.....pale ofisini watu wakamchangia kama 40K ......akasepa ....mida so mida bosii akatuchukua Mimi na mshikaji wangu mmoja tuende naye Moshi ishu ya kazi...... kushuka tu Mwanga pale kwenye kona inapokutana na barabara ya lami inayotokea DSM kina bar fulani hivi ......sikumbuki jina lake ....tulimkuta jyule ombaomba kafunga baa ..anapiga maji na kelele nyingi
Bosii ndio wa kwanza kumuona akamfata na kumwambia unanikumbuka jamaa akasema ndio ......akamwambia sisi watatu pale tulikupa 15K hivyo bili yetu itakuwa juu yako na chenchi akarudisha.........kama 5K
😀😀😀😀Wewe unafaa kupigwa. Huenda ni mmoja kati ya wanufaika
Hao walemavu wanaosukumwa hakuna mtoto wa umri wa shuleHuyo Naibu Waziri Kama kweli anapenda hao walemavu wapate haki zao asiishie kuchapa hao wasukumaji, apambane kuweka Sheria ya watoto walemavu kujengewa shule za boarding Kila wilaya zitakazotambulika kwaajili ya watoto walemavu peke yao, wakae huko wasome na hizo shule ziruhusiwe kukusanya sadaka kwa wanaojisikia kusaidia hao watoto, likizo wawe wanaruhusiwa kujumuika na jamaa zao, Sasa hapo wakiwa watu wazima yaani badala ya miaka 18 wao waongezewe iwe 25 kutambuliwa utu uzima, Sasa kuanzia 26 mlemavu huyo asiruhusiwe kutembea kuombaomba mtaani iwe ni kosa kisheria atumie taaluma yake kujiingizia kipato, na umri wa chini huo wawe shule maalumu pia iwe Sheria na lazima na misaada na sadaka zipelekwe huko kwenye shule zao.