Mnaosukuma walemavu wa viungo kwenye baiskeli kuomba msaada, ni vyema hiyo nguvu mkaitumia kufanya kazi ili muweze kuwasaidia kwa uhakika hao walemavu


Ni member mzuri wa JF huyo, anakuzoom tu!
 

Ikiwa tu wasio walemavu sio wote wamesoma, na hata waliosoma sio wote wameajiriwa au kujiajiri kutumia taaluma zao.

Iweje unadhani walemavu wakisoma tu tayari wamejikomboa, na wasiruhusiwe kuomba baada ya umri fulani?

Na pia, kuwatengea shule zao huoni kama ni ubaguzi na unyanyasaji hata kama unadhani huna nia ovu!!
 
Wale walemavu mnaowaoma wapo mjini wakiomba uku wakiwa wanasukumwa na wababa wanguvu,kumbuka wale wamekodishiwa zile baiskeli,kila jioni wanatakiwa kurejesha kwa mwenye baiskeli kila siku Tsh.7000/= .utafiti nilioufanya ni kwamba kuna baadhi ya watu wamejiongeza kwa kununua baiskelii nyingi za walemavu na kukodi nyumba maeneo ya manzese.hiyo nyumba kawapa hao walemavu na waendeshaji.kumbuka hao walemavu wanatafutwa na kuletwa kutoka uko mikoani .na wasukumaji wao poa wengi uletwa toka mokoani,ndio maana ukiwatazama vizuri wale wanaosukuma zile baiskeli unawaona wana ushamba fulani,kwani nao walipochukuliwa uko mkoani waliaidiwa kazi nono wakifika Dar,matokeo yake wakija hapa wanaambiwa kazi yenyewe ni hii kumsukuma mlemavu.matokeo yake inawalazimu kukubali kwani wakishapata pesa nyingi wanatoa hesabu ya mwenye nyumba na baiskeli kinachobaki wanagawana.Kwa hiyo ndugu zangu kuna watu wapo hapa mijini wanaangalia fursa na wanajua kuzitumia.nafikiri suala ilo nitakuwa nimewafumbua masikio wengi umu ndani.
 
Mimi siwezi kusaidia hata kidogo aina hiyo ya watu.

Mi napenda wale walemavu ambao wanapiga mishe kibishi sometime huwa nawanunuza vitu hata kama sina uhitaji navyo
 
Kwani hakuna vibaka hapo wakaipitia? Wakati mwingine wanafanya wale wenye uhitaji washindwe kusaidiwa
 
Mimi siwezi kusaidia hata kidogo aina hiyo ya watu.

Mi napenda wale walemavu ambao wanapiga mishe kibishi sometime huwa nawanunuza vitu hata kama sina uhitaji navyo
kama yule wa pale Gerezani mwendokasi unajikuta tu unapima uzito kumpiga tafu
 
Aiseee
 
Kinondoni kuna mtu anawakodisha na magomeni pia naona ndy jzi hapa waziri alivamia hizo sehemu

Ova
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
Mkuu, kuna makala fulani waliioa mwananchi kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi.
Hao ombaomba wanamilikiwa na watu fulani, huyo msukumaji ni kubarua tu, analipwa kwa siku au mwezi. Wote hupangiwa chumba guest house na kuishi hapo.
Jioni boss hufuata hesabu yake kama kawaida. Kwa ufupi ni biashara za watu kabisa. Na hupata kuanzia 50k mpaka 150k kutegemea na msimu na maeneo wanayopita au mji wanaoishi.
 
Hao walemavu wanaosukumwa hakuna mtoto wa umri wa shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…