Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS πŸ‡§πŸ‡Έ

Hongera mwenzetu utakufa kisomi
 
Bora na wewe useme mkuu maana wengine tukisema tunaonekana watoto wa mama mara tunakaa kwa shemeji, mtu hakujui halafu anakuletea personal attacks kisa tu umemuambia ukweli, halafu bora angekuwa labda amewahi kuzamia hata hapo nchi jirani tu hajawahi yuko madongo kuinama huko ila anakuja hapa kupotosha watu kwa mambo ya kijinga na ya kusimuliwa
 
Soma tena vizuri comment yangu, sijakataza watu wazamie ila wasiwadanganye wenzao kwamba ni rahisi kiasi hicho, tena ukizingatia kwa nchi yetu ambayo haina uraia pacha na passport tu kupata ni ishu
Hakuna kitu kirahisi hata hapa bongo ni pamoto tu..so ugumu wa maisha USA huwezi fananisha na bongo mengine ni akili kumkichwa
 
Hakuna kitu kirahisi hata hapa bongo ni pamoto tu..so ugumu wa maisha USA huwezi fananisha na bongo mengine ni akili kumkichwa
Tatizo siyo ugumu wa maisha tatizo ni ugumu wa kupata papers, hebu waulize watu wanaoishi bila makaratasi huko ughaibuni wanaishije, na wale waliojaribu kuyapata kwa njia za panya walipitia mangapi na wengine yaliwakuta yepi
 

Kazi za hovyo ndo kazi gani
 
Usikariri kufata taratibu,karatasi zinapatikana hata kwa mchongo.
 


Sasa unapata passport ya bahama? Bila hivyo visa free inapatikana vipi
 
Kumbe wewe mwenyewe umesimuliwa halafu ndiyo unatusimulia?Gogoz umekuwaje wewe?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…