Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
๐๐๐, Kweli huu mwezi ni mbaya, Channel zimegoma ku connectMkuu mwezi huu machizi wametibuka hasa!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐, Kweli huu mwezi ni mbaya, Channel zimegoma ku connectMkuu mwezi huu machizi wametibuka hasa!!!
Dogo pesa anayolipwa mbunge huku kwa mwezi kule marekani inaishia kwenye kodi ya nyumba na serikali tu, sasa we jifariji udhani kwamba pesa ya mbunge hapa kule ni kubwa sana, kiasi kwamba unaweza uka spend na bado eti ukafanya savings nyingiHajui kuwa hizo Kaz za hovyo kwa USA malipo yake ni kama ya mbunge kwa mwezi
Kila kitu mnajigharamia wenyewe mkuuSambamba na mada naomba kwa anayejua utaratibu wa wanaoshinda USA Residence Visa Permit 2024 niliomba so matokeo watatoa next month so kwa waliowahi kuchaguliwa huwa mambo yakoje? Mean Visa ndo walisema kwa watakaoshinda watashughulikia wao waombaji na je, mambo mengine ya usafiri, maladhi na kupata kazi huko inakuwaje?
Thanks
Kila kitu mnajigharamia wenyewe m
Kila kitu mnajigharamia wenyewe mkuu
Yeah siyo mchezo naona pia ndio namna ya kupunguza kiaina idadi ya wanaoenda, maana jumla ya Gharama za visa, medical, pamoja na interview pale ubalozini tu siyo chini ya $1000, hapo bado safari na pesa ya kuanzia maisha ukiwa kule kwa kipindi ambacho utakuwa unatafuta kaziduh mbona mtiti sasa ๐๐๐ hapo ndo unaonaga wa tz anakwenda ambaye hakuchaguliwa. Binafsi wakinichagua ukiachana na gharama ya passport tu vingine siwezi mudu๐๐ปโโ๏ธ
Sasa hela yote hiyo si bora ufungue duka genge nje ya mji akauza na mivinyo tofauti tofauti....ukapiga hela then usa unaenda kama mfanyabiashara baada ya kuzuru china.Yeah siyo mchezo naona pia ndio namna ya kupunguza kiaina idadi ya wanaoenda, maana jumla ya Gharama za visa, medical, pamoja na interview pale ubalozini tu siyo chini ya $1000, hapo bado safari na pesa ya kuanzia maisha ukiwa kule kwa kipindi ambacho utakuwa unatafuta kazi
Wakinichagua ntaleta mrejesho hapa mtanichangia NITANGULIE NIKAWAANDALIE MAKAO KWA BABA ๐๐๐ ili ntakapokuwepo na ninyi muwepoYeah siyo mchezo naona pia ndio namna ya kupunguza kiaina idadi ya wanaoenda, maana jumla ya Gharama za visa, medical, pamoja na interview pale ubalozini tu siyo chini ya $1000, hapo bado safari na pesa ya kuanzia maisha ukiwa kule kwa kipindi ambacho utakuwa unatafuta kazi
Nipo kakaLong time mpwa
Mpwaaa nimekumic pia [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182],Mpwaa nilikuwa nimekumisi jmn acha tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hela yote hiyo si bora ufungue duka genge nje ya mji akauza na mivinyo tofauti tofauti....ukapiga hela then usa unaenda kama mfanyabiashara baada ya kuzuru china.
kiufupi safari sio kitu cha kila mtu maana wapo wengi walioenda unyamwezini kutembelea ndugu na wakarudi na hawana hata wazo la kuzamia....hivyo hiyo ni hobby ya mtu binafsiSoma tena vizuri comment yangu, sijakataza watu wazamie ila wasiwadanganye wenzao kwamba ni rahisi kiasi hicho, tena ukizingatia kwa nchi yetu ambayo haina uraia pacha na passport tu kupata ni ishu
Uliomba passport ukanyimwa? Ttzo wabongo mnapenda kulalamika fuata utaratibu ukinyimwa uje ulalamike..and hao wenye uraia pacha kwani wao wanaenda kiwanja visa free...?kitu kingine tz unaweza kuwa na uraia hata wa nchi tatu na ukabaki kuwa mtz na mtu asijue as long as passpot ya tz unayoSoma tena vizuri comment yangu, sijakataza watu wazamie ila wasiwadanganye wenzao kwamba ni rahisi kiasi hicho, tena ukizingatia kwa nchi yetu ambayo haina uraia pacha na passport tu kupata ni ishu
[emoji16][emoji16]Nimejikuta namkumbuka Super Brand LeMutuz miaka 20 ya kuishi U.S.A akarudi na DVD player, Subwoofer na Rice cooker.
Hehehe,Kwa hiyo na walimu wafanye hivyo?@mpwayunguvilageHapa tunaongea kwa wazamiaji, mabaharia na watafutaji wagumu ani sio mtoto wa mama.
Process za kutoka bongo direct to USA ๐บ๐ธ ni ngumu isitoshe inavigezo pia ni expensive, Sasa chakufanya wew kama Una dollar 2500 inatosha kabisa kwenda USA ๐บ๐ธ
Nenda Bahamas coz ni free visa entry, ni wewe na passport yako tu mkononi kama unavyoenda Kenya na Burundi tu hawama mambo mengi sijui wakuhoji nn amna
The distance in mile from Bahamas mpaka Miami Florida kwa upande wa marekani ni almost mile 25 tu ni kama dar to chalinze.
Pale Bahamas utawakuta wajuba kutoka Mexico Wana boti zao unatoa kama dollar 500 ivi wanakuvusha kwa boti kimagendo lakini, ukifika tu pale mwambaoni wanawamwageni afu nyie mnakimbilia lami barabarani tayari uko ndani ya USA ๐บ๐ธ.
MIMI broo wangu mwezi ulopita katumia iyo njia saizi yupo zake NEW YORK CITY anakula maisha.
N. B. more is lost by indecision than by wrong decisions.
Watu wengi wanaenda kiwanja siyo kwa sababu wanapenda kusafiri bali wanaenda kutafuta maisha, sababu ya umasikini na ugumu wa maisha ulioko kwenye nchi zao, na wengine ni kutaka tu ile heshima kwa ndugu na jamaa kuwa wanaishi kwenye hizo nchikiufupi safari sio kitu cha kila mtu maana wapo wengi walioenda unyamwezini kutembelea ndugu na wakarudi na hawana hata wazo la kuzamia....hivyo hiyo ni hobby ya mtu binafsi
Hapa sijiongelei mimi passport ninayo muda sana ila naongea kwa niaba ya watanzania wengi ambao wakienda pale uhamiaji, wananyimwa passport kwa sababu za kipuuzi kabisa ilihali wana documents zote basi tu ili mradi mtu ajiongeze awape rushwa, wewe usijifanye mgeni kwamba hujui jinsi mamlaka za hii nchi zinavyofanya kaziUliomba passport ukanyimwa? Ttzo wabongo mnapenda kulalamika fuata utaratibu ukinyimwa uje ulalamike..and hao wenye uraia pacha kwani wao wanaenda kiwanja visa free...?kitu kingine tz unaweza kuwa na uraia hata wa nchi tatu na ukabaki kuwa mtz na mtu asijue as long as passpot ya tz unayo
Orodhesha vitu unavyohitaji wakupe/wakulipieduh mbona mtiti sasa ๐๐๐ hapo ndo unaonaga wa tz anakwenda ambaye hakuchaguliwa. Binafsi wakinichagua ukiachana na gharama ya passport tu vingine siwezi mudu๐๐ปโโ๏ธ
Vitu kama ViSa, ticket na accommodation ukiwa USA kwa miezi kadhaa kabla hujapata kaziOrodhesha vitu unavyohitaji wakupe/wakulipie