Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo halituzuii sisi kusema ukweli pale tunapoona mtu kapotosha jambo, suala la wewe kutumia au kutotumia hizo njia za magumashi halituhusu hilo ni juu yako, sisi hapa tunaandika uhalisia tunaoufahamu tu anayetaka auchukue asiyetaka auacheKila mtu anajua alichosema mleta mada sio njia ya uhakika lakini kuna walioitumia wakafanikiwa kwaiyo uwezekano upo. Maisha yana risk nyingi sana ni suala la ujasiri wako tu, anyway kama hauna maujanja tulia fuata utaratibu kwenye kila jambo ili utoboe kwa izo njia zako halali.
Fungua uzi wako uandike huo uhalisia. Hata mtoa mada mwanzoni alisisitiza walengwa ni mabaharia na wazamiaji wenye uthubutu wa kujitosa bila kujiuliza uliza. Kwa kifupi huu ni uzi kwa ajiri ya watafutaji wagumu sio watoto wa mchele mchele kama wewe.Hilo halituzuii sisi kusema ukweli pale tunapoona mtu kapotosha jambo, suala la wewe kutumia au kutotumia hizo njia za magumashi halituhusu hilo ni juu yako, sisi hapa tunaandika uhalisia tunaoufahamu tu anayetaka auchukue asiyetaka auache
Wewe ni nani wa kunipangia namna ya kutoa mawazo yangu humu jf, ningekuwa nimeandika hoja isiyohusiana na mada hapo ndio ungekuwa na sababu ya kuniambia nianzishe uzi lakini nilichoandika kinahusiana na mada, kijana watafutaji wagumu unawajua wewe ungekuwa mtafutaji mgumu usingekuwa unadangia mijimama ili upate pesa tafuta pesa kwanza ndio uwaze habari za kuzamia marekaniFungua uzi wako uandike huo uhalisia. Hata mtoa mada mwanzoni alisisitiza walengwa ni mabaharia na wazamiaji wenye uthubutu wa kujitosa bila kujiuliza uliza. Kwa kifupi huu ni uzi kwa ajiri ya watafutaji wagumu sio watoto wa mchele mchele kama wewe.
Sio majimama tu hata wewe ukinipa jicho naku-p.didy vzr tu ilimradi pesa yangu iwepo. We endelea kufuata utaratibu rasmi kwenye kila kitu lakini pale unapoona wanaume wanajadili mambo makubwa zaidi ya kikomo cha uthubutu wako basi tuliza mshonoWewe ni nani wa kunipangia namna ya kutoa mawazo yangu humu jf, ningekuwa nimeandika hoja isiyohusiana na mada hapo ndio ungekuwa na sababu ya kuniambia nianzishe uzi lakini nilichoandika kinahusiana na mada, kijana watafutaji wagumu unawajua wewe ungekuwa mtafutaji mgumu usingekuwa unadangia mijimama ili upate pesa tafuta pesa kwanza ndio uwaze habari za kuzamia marekani
Kijana inaonekana unapenda sana kufanyiwa hiyo michezo kiasi kwamba unahisi kila mtu anaifanya kama wewe, kwahiyo hapo ulipo unaona kuzamia marekani kwa njia za panya ni jambo kubwa na la uthubutu sana wakati hapo ulipo usikute hata SA tu hapo hujawahi fika na hata passport yenyewe tu usikute huna, halafu unataka watu wakupe michongo ya kuzamia US sasa mtu kama wewe hata ukipewa hizo njia utafanya nini wakati kutafuta pesa hapa kwenu tu kumekushinda unategemea za kuhongwa huko kwenye nchi za watu ndio unadhani utatoboa..pathetic!!Sio majimama tu hata wewe ukinipa jicho naku-p.didy vzr tu ilimradi pesa yangu iwepo. We endelea kufuata utaratibu rasmi kwenye kila kitu lakini pale unapoona wanaume wanajadili mambo makubwa zaidi ya kikomo cha uthubutu wako basi tuliza mshono
Jitaidi ukienda uende kihalali na siku hizi wakitoa visa inakaa mwaka mzima ,Dunia ya Leo haiitaji kuzamia kienyeji watu washatoka huko ,pambana uende kihalali ndo uta enjoyMkuu tupe uzoefu wako. Mimi nina mpango wa kuingia USA nipo kwenye mchakato wa kujikusanya financialy
Mpwaa ilo busu yuwiiii aaashhit 😋🥱Mpwaaa nimekumic pia [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182],
Ulipotelea wapii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wastage of time kabisa.Unatoa mawazo ya kuingia USA huku umeegemea mgomba kijijini...ni bora kutafuta maisha popote pale kuliko kuingia kwa hao jamaa na vibali vya kazi vikiwa haviko sawa itakuchukua muda mrefu kidogo kukaa sawa na ukiwa hauna vibali utafanya kazi za hovyo hovyo ili uweze kulipa kodi na lishe....
Yes mkuu. Kote kihalali na kibishi tunajaribu njia itakayokubali inshallahJitaidi ukienda uende kihalali na siku hizi wakitoa visa inakaa mwaka mzima ,Dunia ya Leo haiitaji kuzamia kienyeji watu washatoka huko ,pambana uende kihalali ndo uta enjoy
Tuliza mshono kijanaKijana inaonekana unapenda sana kufanyiwa hiyo michezo kiasi kwamba unahisi kila mtu anaifanya kama wewe, kwahiyo hapo ulipo unaona kuzamia marekani kwa njia za panya ni jambo kubwa na la uthubutu sana wakati hapo ulipo usikute hata SA tu hapo hujawahi fika na hata passport yenyewe tu usikute huna, halafu unataka watu wakupe michongo ya kuzamia US sasa mtu kama wewe hata ukipewa hizo njia utafanya nini wakati kutafuta pesa hapa kwenu tu kumekushinda unategemea za kuhongwa huko kwenye nchi za watu ndio unadhani utatoboa..pathetic!!
Binadamu hatufanani mawazo mkuu. Sometimes ni vyema tukakubali kutokukubalianaMimi naomba nitoke nje ya mada. Kiukweli US sijui naonaje aisee. Mtu akinambia kwenda kuishi huko naona ni kama simba aambiwe atoke Serengeti aende kukaa Zoo ya wanyama.
Watanzania wanafaa kupewa ushauri na watu kama kina chief Godlove, chimakeke au jamaa mmoja anajiita Elly David yupo Canada.Bora na wewe useme mkuu maana wengine tukisema tunaonekana watoto wa mama mara tunakaa kwa shemeji, mtu hakujui halafu anakuletea personal attacks kisa tu umemuambia ukweli, halafu bora angekuwa labda amewahi kuzamia hata hapo nchi jirani tu hajawahi yuko madongo kuinama huko ila anakuja hapa kupotosha watu kwa mambo ya kijinga na ya kusimuliwa
Yes mkuu. Kote kihalali na kibishi tunajaribu njia itakayokubali inshallah
Sasa kwingine unakubali halafu ukija kwangu unajifanya mbishi wakati nilichokiandika ni kile kile alichoandika huyo jamaa uliyemjibu, ukweli ndio huo dunia ya leo watu washatoka huko kwenye kuzamia kienyeji kama wewe mwanaume kweli pambana uende pale ubalozini ukawa face consular officers upewe visa kihalali siyo eti una force kuzamia kibishi huo ni uoga wa maisha, we unadhani kupass interview pale ubalozini ni rahisi yani mtu unataka uingie kwenye Nchi za watu kama unaenda kijijini kwenu huko Tarime we ulisikia wapi hebu tafuta pesa mzee achana na hizo ndoto zako za kidwanziTuliza mshono kijana
Asee nilidhani ni mimi peke yangu ndio namkubali yule jamaa Chief Godlove kumbe tuko wengi, tuko pamoja mkuu wabongo wanahitaji watu kama hao ili akili ziwakae sawa maana wakishauriwa na watu kama sisi wanadai eti sisi mchele mchele watoto wa mama hatujui ugumu wa maisha, yani mtu unamuambia ukweli anakuletea makasiriko na stress zake za kimasikini badala ya kupambana na uhalisiaWatanzania wanafaa kupewa ushauri na watu kama kina chief Godlove, chimakeke au jamaa mmoja anajiita Elly David yupo Canada.
Mtanzania ukimpa ushauri kwa upole anakuchukulia poa.
Mwafrika hasa mtanzania inabidi umpe ushauri huku ukimsindikiza kwa lugha kali kama kina chief Godlove anavyosemaga,
Watu maskini watoke magetoni wakajitafute maana wao ni maskini mbwa takataka.
Kama haina mwenyewe kwanini wanaingia kwa magendo,?si waende tuHizi ni akili nyeusi bro
Dunia nzima sijui ni nchi gani haikutawaliwa
Watu wa jamii zote wanazunguka dunia nzima kutafuta fursa
Hapo kijijini kwako tu kuna watu hapo wametoka nchi za mbali
Alafu Marekani haina mwenyewe kila utakayemgusa ana asili ya nchi alikotoka
Nenda katafute fursa bro acha mtindio wa mawazo
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ukuta wa trumpBorder huru la mexico washalifunga kwani?
Kwa nini wa-Tanzania wengi sana wanapenda kuwa na akili na fikra potofu za kupenda kwenda kwenye nchi za watu bila ya kufuata utaratibu rasmi wa uhamiaji??? Kwa nini msiwe mtafanya maandalizi ya kutosha kabla ya kuamua kuhama nchi yako na kwenda kuishi maisha ktk nchi za ugenini? Kwa nini msitafute Visa halali ili kujihakikishia maisha ya amani na utulivu ukiwa huko ugenini nje ya nchi yako??Hapa tunaongea kwa wazamiaji, mabaharia na watafutaji wagumu ani sio mtoto wa mama.
Process za kutoka bongo direct to USA 🇺🇸 ni ngumu isitoshe inavigezo pia ni expensive, Sasa chakufanya wew kama Una dollar 2500 inatosha kabisa kwenda USA 🇺🇸
Nenda Bahamas coz ni free visa entry, ni wewe na passport yako tu mkononi kama unavyoenda Kenya na Burundi tu hawama mambo mengi sijui wakuhoji nn amna
The distance in mile from Bahamas mpaka Miami Florida kwa upande wa marekani ni almost mile 25 tu ni kama dar to chalinze.
Pale Bahamas utawakuta wajuba kutoka Mexico Wana boti zao unatoa kama dollar 500 ivi wanakuvusha kwa boti kimagendo lakini, ukifika tu pale mwambaoni wanawamwageni afu nyie mnakimbilia lami barabarani tayari uko ndani ya USA 🇺🇸.
MIMI broo wangu mwezi ulopita katumia iyo njia saizi yupo zake NEW YORK CITY anakula maisha.
N. B. more is lost by indecision than by wrong decisions.