Mkuu naomba kujua gharama za maisha hapo Bahamas zipo vipi ni kiasi gani kinaweza kukutosha kukaa kwa kipindi ambacho unapanga mipango wa kuzamia states na pia kutoka hapo bahamas mpaka states ina-cost kiasi gani bila kusahau ukikanyaga states suala la makazi na hustles unaanzia wapi na ni kiasi gani kinaweza kutosha kwa kipindi kifupi ambacho utakua unatafuta kibarua cha kujishkiza