Mnaotaka kuingiza bidhaa nchini kokotoo la TRA ndio hili

Ni bora ungesahihisha hayo mapungufu na kutoa huo muongozo unaosema..kuliko kumlalamikia mleta mada bila sababu.Infact sababu ya kuleta humu ni kwa ajili ya watu kama nyie mnaojua mtoe ufafanuzi

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye tembea tembea zangu mitandaoni nimekutana na kikotozi cha TRA kinachotumiwa kwenye uingizaji wa bidhaa hapa nchini, kwakweli kinatia kichefuchefu na kukatisha tamaa.

Jioneeni wenyewe nisiseme sanaa;

View attachment 2474370
Duh.
Halafu utakuta yenyewe, wake zao na vimada wao wanaingiza vitu bure kabisa.
TRA wana nia moja tu, kuhakikisha kila raia anakuwa fukara.
 
Mkuu hapa ungetufafanulia kidogo. Huyo jamaa yako wa burundi ulimuuliza hiyo gari huko nje analoinunua ni nje gani? Hebu tupe mchanganuo wa kuingiza gari burundi iliyonunuliwa Dubai.
 
Ingawa TRA pia ni washaur wa WAZIRI wa FEDHA NA MIPANGO lakini pia ndo Wana nguvu yakutoka mapendekezo mpaka Bungeni, shida iko kwenye NIA ya KODI, ni Kama inashindana na wananchi, as if ni DISCOURAGE factor. Hapa kuna TATIZO kubwa la wqliopewq dhaman kuendesha chombo hili,SIJUH LINI TUTAJITAMBUA
 
Yaan kwa tafsiri hii
[emoji117]mzigo ukifika TU bandarini unapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia K'koo,wholesaler anapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia mtaani,retailer anapigwa V.A.T
Yaan nchi hii, Mungu atunusuru[emoj
sheria ya vat tuliambiwa anyelipa kodi hii ni mlaji wa mwisho yaani mtumiaji hao wengine wote ni wakusanyaji
 
Ni bora ungesahihisha hayo mapungufu na kutoa huo muongozo unaosema..kuliko kumlalamikia mleta mada bila sababu.Infact sababu ya kuleta humu ni kwa ajili ya watu kama nyie mnaojua mtoe ufafanuzi

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
kabisa mimi angalu sasa napata madini nashukuru mleta mada kanisaidia walau sasa nimeanza elewa hata leo maana nilikuwa niiagiza vitu nampa tu wakala anitolee mzigo
 
Yaan kwa tafsiri hii
[emoji117]mzigo ukifika TU bandarini unapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia K'koo,wholesaler anapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia mtaani,retailer anapigwa V.A.T
Yaan nchi hii, Mungu atunusuru[emoji26]
VAT ni nini!?
 
Nadhani nchi nyingi zinazotuzunguka kuingiza magari kwao ushuru siyo Issue kabisa

Tanzania Sijui shida ni nini Jamani
 
Umeeleweka chief

Asante kwa elimu

Ova
 
Yaan kwa tafsiri hii
[emoji117]mzigo ukifika TU bandarini unapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia K'koo,wholesaler anapigwa V.A.T
[emoji117]Mzigo ukiingia mtaani,retailer anapigwa V.A.T
Yaan nchi hii, Mungu atunusuru[emoji26]
Hii ni DUNIA nzima mkuu, tembea kwanza ujionee namna nchi zinajiendesha na upate kujua umuhimu wa kulipa kodi
 
Nina uhakika wewe hujui KODI a wala huna uelewa kwenye UHASIBU. Nina uhakika na kama utabisha nipe room hapa hapa nikuulize maswali kisha uyatolee majibu kuhusu hata hiyo VAT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…