Kwa hiyo wewe ulitaka waende Uganda?
Kwanini washauriwe Wayahudi kuondoka Ulaya? Kwanini wasishaliwe waafrika, kwanini siyo wahindi?
Nimeisoma vizuri sana, kuliko unavyofikiri umeisoma na kuielewa.
Halikuwepo taifa, lakini hao walioanzisha hilo taifa ambalo halikuwepo, walikuwepo hapo kutambo hata Palestina waliwakuta watu hao. Kwa kuwa Tanganyika haikuwepo kama taifa, hiyo haikuwa sababu kunyimwa uhuru. Maana waliodai uhuru walionyesha uwezo wao katika kuungana kama taifa, kuja pamoja, kusikilizana na kujitawala.
Hapajawahi kuwepo na taifa la Wapalestina hsta lingekuwepo hakuondoi uwepo wa watu wa jamii nyingine, Palestina ilikuwepo kama jamiu na mamlaka yao kwa ajili ya Wapalestina, Wayahudi hawakuwahi kukubali kuitwa Wapalestina, walitaka utambulisho wao.
Mnajichanganya sana, awali umesema US na Uingereza walutaka wawapeleke Uganda wakakataa. Huko unakozidi kwenda unaisahau sababu yako ya awali kuwa US na Uingereza walitaka kuwapeleka Uganda (sasa sijui Uganda napo kuna waarabu?), Unaibua madai mapya kuwa waliunda taifa la Israel na kulipeleka Mashariki ya kati ili kuwagawa waarabu kwa lengo la wao kufaidika na mafuta, sasa unataka tushike kipi?[emoji2][emoji2]
Aaah, acha mkuu, usiniambie!! Nilikua sijui kabisa, nsshukuru kwa taarifa.
View attachment 2777536
View attachment 2777539
View attachment 2777540
Habari nzuri siyo lazima wewe uipende. Hivi unajua kuwa ili Mpalestina aweze kuingia nchi za kiarabu zile zinazo wazunguka na zilizopo mbali ni lazima waonyeshe visa ya kuonyesha kuwa hawatakaa kwenye hizo nchi bali wanapita tu? Hata wakipata ruhusa ya kuingia nchi hizo basi ni kwa sababu maalum kama kununua mahitaji na kurudi?
Wanunuzi wakubwa wa silaha hizo ni nani? Kwanini? Je, Iran, China na North Korea hawana viwanda vya silaha? Au hata hao viwanda vyao vinamilikiwa na Waisrael?