Mnaotaka kujua ukweli kuhusu mzozo wa Israel na Palestina na yupi ni mkaidi piteni hapa

Mnaotaka kujua ukweli kuhusu mzozo wa Israel na Palestina na yupi ni mkaidi piteni hapa

Eti lilianzishwa na westen! Wana wa Yakobo , Taifa lao lilianzishwa na magharibi! Hilo Taifa lipo kabla ya magharibi.

Wakati wanaenda uhamishoni Misiri hiyo westen ilikuwepo. Wakati wanaenda uhamishoni Babeli, westen ilikuwepo! Ilikuwepo.
Una maana gani,watu hawakusema wamagharibu ndio walilianzisha,bali wao ndio wanalisupport kuwepo pale,mana ukiambiwa taifa maana yake ni kundi la watu hata kama hawana ardhi.

Kwa hiyo issue sio utaifa wao,issue ni ardhi wanayoikalia.

Xx labda utuonyeshe ni wapi katika historia ilieleza kwamba waisrael ardhi yao ni pale.
 
Hiyo haimaanishi kuwa pale hapakuwepo na Wayahudi. Nimeshsema mara kadhaa, kwamba Wayahudi walikuwepo pale.
Hso waliorudishwa kutoka Ulaya ni matokeo ya wao kuuawa na kuchukiwa huko balani Ulaya na mwisho wakaamua kukubali kurudi nchi yao ya asili kuungana na wenzao waliopo huko.
Hata aliyepelekea Wayahudi kuchukiwa na kuanza kuuawa ni Wayahudi wenyewe. Walipowaomba wenzao warudi kuwasaidia kupambana na wapalwstina au hata wawapatie misaada , wenzao waliwakatalia, maana wenzao tayari walikua na maisha mazuri huko Ulaya. Ndipo likajiunda kundi la vijana wa Kuyahudi lililoamua kuwaharibia wenzao popote walipo. Kundi lile la vijana lilifanikiwa sana, kwani kilichokuja kuwatokea Wayahudi kila mmoja anakijua na baada ya hapo wakakubali kurudi kwao kuungana na wenzao kupambana na Palestine, maana kila nchi walikua either wanachukiwa au wanawindwa.
Baada ya kukubali kurudi, matokeo yake ndiyo meli hizo mnazo share.
Ingawa, kati ya hizo meli ulizo share, kuna meli haihusiani na tukio hilo, sijui hizo nyingine. Ila hiyo moja inahusiana na tukio na na huko Saigon wakati ule vita inafika mwishoni.
Hivi huko Ulaya waliishi miaka mingapi ao Wayahudi?
 
Hivi huko Ulaya waliishi miaka mingapi ao Wayahudi?
Usipate sana shida, ipo hivi;
Wayahudi walianza kuhama na kuia Ulaya kawenye karne za 10 na 11, Walikaa Ulaya kwa miaka mingi kabla ya mwaka 1947.

Kati ya miaka ya 1800 na mwanzoni mwanzoni mwa miaka ya 1900, kulikuwa na idadi kubwa ya Wayahudi wameenea kuishi Ulaya na waliishi kwa makundi makubwa huku wakikamata nafasi nyingi muhimu kwa kila nchi waliyokuwepo. Kuanzia utafiti, jeshini biashara, uelimu na kila ujuacho. Zaidi, Wayahudi kwenye kila nchi waliyokuwepo walikuwa wakishirikiana sana.

Mwaka 1947 ni upo too vocal katika historia ya Wayahudi kuhama kutoka Ulaya kwa sababu ni mwaka ambapo mbali ya Baraza la Umoja wa Mataifa lilipitisha Azimio la Umoja wa Mataifa 181 (Azimio la Ugawaji wa Palestina), ambalo lilisababisha kuundwa kwa taifa la Israel, pia ndiyo mwaka ambao Wayahudi walirudi Israel kwa mkupuo mkubwa zaidi ya awamu nyingine zote.

Kwa hiyo, Wayahudi walikuwa wamekaa Ulaya kwa mamia ya miaka kabla ya mwaka 1947.

kitendo cha Wayahudi kuhamishwa kutoka Ulaya na maeneo mengine na kurudishwa Israel mwaka 1947, halikua tukio la kwanza wala geni, bali ilikua ni muendelezo wa Juhudi za muda mrefu na hapa nitazitaja.

Upekee wa mwaka 1947 ni unatokana kwamba waliorudi safari ile walikua ni wengi sana pia wakaanzisha taifa lao.

Nitazitaja baadhi ya juhudi za uhamishaji wa Wayahudi zilizotokea kabla ya mwaka 1947 ambazo ni kama ifuatavyo;

Awamu ya Kwanza (1881-1903)
Awamu hii ya uhamishaji wa Wayahudi kutoka Ulaya kwenda Palestine land (ilivyojulikana wakati huo), ambayo ilikuwa sehemu ya milki ya Ottoman wakati huo (Ikumbukwe, Ottoman walipoteza kwa Uingereza). So, sababu pia ya dini, Ottoman waliwasaudia zaidi wapalestina dhidi Wayahudi.

Awamu ya Pili (1904-1914)
Katika awamu hii, idadi ya Wayahudi kuhama kutoka Ulaya kwenda Israel iliongezeka. Hiki kilikua ni kipindi cha kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia.

Awamu ya Tatu (1919-1923)
Baada ya Vita vya Kwanza vya Dunia, juhudi za kuhamisha Wayahudi ziliongezeka, na Palestina/Israel ilikuwa chini ya utawala wa Uingereza kwa uangalizi, Tanganyika na Uganda zilivyowekwa chini ya uangalizi wa Uingereza, baada ya German kupokonywa. Hili nalo liliwekwa chini ya Uingereza baada ya Ottoman kupoteza WW1.

Awamu ya Nne na ya Tano (1924-1948)
Wayahudi waliongeza juhudi zao za kuhamia Israel, na idadi yao iliongezeka kwa kiasi kikubwa.

Halafu kuna watu wa kukariri wenyewe kila wakija wanakuja na historia inayoanzia mwaka 1947. Hata huwa sizielewi akili zao, labda wanaowasimulia huwa wana wa hypnotise.
Zile habari za kuhamishiwa Uganda hapa unaziona zina fit sehemu gani ya awamu na ksababu ipi?
Watu wamejazwa porojo tu vichwani. Kwa miaka mingi nilikua nasoma hizo porojo but nazipotezea, ila sasa naona zinazidi kuwatia watu upofu.
 
Wayahudi wamekuwepo eneo hilo kwa miaka mingi ila walikuja kusambaa maeneo mengi duniani mpaka nchi nyinginezo

Wayahudi sio mara ya kwanza kufukuzwa, walifukuzwa uingereza, walifukuzwa marekani ya kipindi hiko kutokana na mishe mishe zao hasa katika masuala ya fedha

Wachache waliobaki kwenye maeneno yao ya asili huko Israel ya sasa, walipitia tabu na dhulma nyingi kutoka kwa wapalestina kutokana na uwingi wao

Ila makazi hayo ni yao na ndio maana hata majina ya miji mingi eneo hilo yana asili ya kiibrenia na sio kiarabu

Issue ni kuwa baada ya kuondoka muda mrefu waliolowea wameweka makazi ya kudumu hivyo hawataki kutoka

Huu msuguano sidhani kama utaisha
 
Moja, unapaswa kuelewa hapajawahi kuwepo taifa la Wapalestina.

Pili, usifikiri kwamba kabla ya hao diaspora pale hapakuwepo na Wayahudi wengine, pale tayari walishakuwepo wengine waliokua wakiishi pale. Hao walikua wakipambania ardhi dhidi ya wapalestina kwa miaka mingi tu.
Hao Diaspora wakati wanarudi pale, walikuta wenzao wapo, usidhani waliondoka wote.
Hapakuwa pia na taifa linaitwa Israel kabla, Palestine ipo muda tu.
 
Wayahudi wamekuwepo eneo hilo kwa miaka mingi ila walikuja kusambaa maeneo mengi duniani mpaka nchi nyinginezo

Wayahudi sio mara ya kwanza kufukuzwa, walifukuzwa uingereza, walifukuzwa marekani ya kipindi hiko kutokana na mishe mishe zao hasa katika masuala ya fedha

Wachache waliobaki kwenye maeneno yao ya asili huko Israel ya sasa, walipitia tabu na dhulma nyingi kutoka kwa wapalestina kutokana na uwingi wao

Ila makazi hayo ni yao na ndio maana hata majina ya miji mingi eneo hilo yana asili ya kiibrenia na sio kiarabu

Issue ni kuwa baada ya kuondoka muda mrefu waliolowea wameweka makazi ya kudumu hivyo hawataki kutoka

Huu msuguano sidhani kama utaisha
Kwa hiyo wazaramo wakirudi maeneo yao hapa dar tuondoke?
 
Kwa hiyo wazaramo wakirudi maeneo yao hapa dar tuondoke?
Wakitaka, na wakiwa na mkakati sahihi, wanaweza kuwaondoa "wageni" bila wageni kujua kuwa wanaondolewa. Lakini hilo litafanikiwa tu ikiwa wataweka malengo ya muda mrefu na kuwa tayari kulipa gharama yoyote itakayohitajika ili yatimie. Kwa hiyo, ni lazima wawe na hela na akili.

Cha kwanza, wahakikishe kuwa kila ardhi na nyumba itakayouzwa Dar inanuniliwa na watu wao (Wazaramo)

Cha pili, wahakikishe kuwa wanawashawishi watu wasiokuwa Wazaramo wakubali kuyauza maeneo yao Dar, ambapo wanunuzi watakuwa waneshaandaliwa, Wazaramo.

Cha tatu, wahakikishe wanakuwa na nguvu ya ushawishi ndani ya Mkoa wa Dar Es Salaam hasa kwa kuhakikisha kuwa wana watu wao katika ngazi mbalimbali za uongozi na uwakilishi kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya kitaifa.

Nne, wawachomeke watu wao kwenye nafasi za kimauzi katika ngazi za kitaifa. Si lazima awe Mzaramo, hata wa kabila jingine, muhimu awe anayasimamia maslahi yao. Kwamba, atakuwa "puppet' wa Wazaramo.

Wakishafanya hivyo, wanaweza wakaamua kubadilisha na jina la Dar Es Salaam, badala ya kuendelea kuitwa hivyo, pakawa UZARAMONI.

Si lazima makabila yote yaondoke, muhimu ni kwamba wao ndiyo wenye nguvu juu ya hatma ya Mkoa wao, UZARAMONI.
 
Nonsense
Sikuwahi kuikataa, ninachokikataa ni pale kitendo cha kwamba Pale ilipo nchi yao hivi sasa hawakuwahi kuwepo walikusanywa kutoka Ulaya. Wakati ukweli ni kwamba walikuwepo na waliosababisha wakubali kutoka Ulaya kwenda kule ni wayahudi wenzao.
Kuna jamaa jana alikuja na mfano mzuri sana. Alisema ni sawa na kule Ngorongoro leo hii wamasai wanavyoondolewa na kubakizwa wachache huku wageni wakiongezeka.

Na mimi naongezea, baadaye, waarabu wakiweza kujenga ushawishi wao na kupelekea kukabidhiwa jumla Ngorongoro, halafu Ngorongoro ikaja kuwa nchi yenye mchanganyiko wa wamasai wachache waliobaki na waarabu wengi na labda waarabu kuibafilisha jina la Ngorongoro na waamue kuiita Arabian Land, wakati huohuo wakiishi kwa uhasama na wamasai wachache waliobaki, wakiwakandamiza n.k.

Wamasai nao wakaanza harakati za kudai ardhi yao, na baadaye wafanikiwe kuwashawishi wamasai wemzao wanaoishi Kenya, Tanzania na Somali land wakakubali kurudi kwenye ardhi ya asili yao, basi ndivyo lilivo hili swala la Waisraelu na Wapalestina.
IMG_20231012_144545.jpg
 
Sija angalia video clip yako kwa sababu najua hiko overly biased - nani ambaye hajui kwamba Waisrael walishauliwa kwenda Uganda wakakataa - soma vizuri jinsi Taifa la Israel lilivyo anzishwa na western Nations specifically Uingereza na Merikani na kupewa silaha including ndege za vita kuwaonea Wapalestina na kuanzisha makazi taifa ambalo hapo hawali alikuwepo kabisa - lilikuwepo taifa la Palestine sio Israel - Israel ilibuniwa na western Nation for Geopolitical reasons by dividing some hypocritical Arabs nations kutokana na utajiri wa mafuta waliokuwa nao. Waisrael ni binadamu wa ajabu sana na wakatiri, selfish na racists nyie hamjui tu vurugu zote Duniani zinatokana na vyombo vyao vya habari vinavyo eneza habari za uongo na uonezi ili kuvidaidia viwandavyao vyakutengeneza silaha za vita MIC majority ambavyo wamiliki wao wakubwa ni Waisrael hivyo kwao vita ni sehemu ya biashara.
Israel ipo Muhamad hajazaliwa.Huendi kwenda nchi ya watu wakati nchi yako ya asili ipo.Turudi asili yetu,ZIONISM.
 
Back
Top Bottom