Unawatetea katika ground zipi?Wale ma-Dr wa Korogwe wamesimamishwa kazi na hakuna wa kuwatetea
Wao walipaswa kupeleka Ambulance Mombo?Unawatetea katika ground zipi?
Ulilazimishwa kuwa daktari?Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu Hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta.
Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakashazaa shukrani hamna
Mambo ni mengi mno
Daktari naye ni binadamu na ana masaa yake ya kufanya kazi , haiwezekani 24/7 awepo kazini.Unawatetea katika ground zipi?
Mkuu tunawaheshimu mno . Sema wajinga wachache wakishakuwa vijisenti wanaanza kudharau wengine wanajiona kila wanaweza.ama wanaweza kutembea juu ya maji. Huku hawajui thamani ya kazi yenu. Udaktari Ni wito pamoja na ualimu mmeamua kusaidia kuokoa maisha yetu na sio kuwa mmeingia ili muwe matajiri Kaka/dada.Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu Hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta.
Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakashazaa shukrani hamna
Mambo ni mengi mno
Acha kuwavunja moyo bana. Angekuwa trafiki kesho angekuandikia. Heshimu taaluma za watu bana. Yaani daktari na mwalimu kwangu Ni heshima kubwa. Hebu waza bila ya hao watu ama wakulima ivi tungeishije. Nakuomba uyatoe maneno yako. Hivi hujawahi kuumwa ama kuuguliwa. Pia uelewe anachokusaidia haviendani na maalipo Ni sawa na wanajeshi wako tayari kufa ili uishi ulale kwenye neti huku upo na mpendwa wako unaturahia. Wajeda hawalipwi mshahara wanalipwa posho Mana huwezi lips mtu kwa kujitolea maisha yake kufa ili Taifa lake lipone.Ulilazimishwa kuwa daktari?
Hakuna sehemu nimemvunja moyo. Tatizo analalamika kama vile alilazimishwa kuwa daktari.Acha kuwavunja moyo bana. Angekuwa trafiki kesho angekuandikia. Heshimu taaluma za watu bana. Yaani daktari na mwalimu kwangu Ni heshima kubwa. Hebu waza bila ya hao watu ama wakulima ivi tungeishije. Nakuomba uyatoe maneno yako. Hivi hujawahi kuumwa ama kuuguliwa. Pia uelewe anachokusaidia haviendani na maalipo Ni sawa na wanajeshi wako tayari kufa ili uishi ulale kwenye neti huku upo na mpendwa wako unaturahia. Wajeda hawalipwi mshahara wanalipwa posho Mana huwezi lips mtu kwa kujitolea maisha yake kufa ili Taifa lake lipone.
Hakuna daktari (MD) anayeweza kuandika kitu kama hicho. Achana naye. Ethics ya wataalam hao inajulikana, huyo hayumo.Ulilazimishwa kuwa daktari?
Sasa hata swala la kula matunda na kula parachichi ili upate nnya laini bila kujikakamuwa hili nalo mpaka uambiwe na daktari?Mkuu tunawaheshimu mno . Sema wajinga wachache wakishakuwa vijisenti wanaanza kudharau wengine wanajiona kila wanaweza.ama wanaweza kutembea juu ya maji. Huku hawajui thamani ya kazi yenu. Udaktari Ni wito pamoja na ualimu mmeamua kusaidia kuokoa maisha yetu na sio kuwa mmeingia ili muwe matajiri Kaka/dada.
Bali Ni ule wito wa kuokoa maisha ama uhai wa watu.
Najua mnafanya kazi kwenye risk kubwa mno. Na ndio Mana Kuna wengine madaktari wanasepa Botswana ama wakiingia kanada wakaingizwa kwenye bodi yao wanaanza kufanya kazi huko wanathamini career za watu. Mana mfano huko kanada tu wanalipwa 75M tzs hapa Kenya tu wanapata 13M tzs mie nashangaa why Tanzania haithamini madaktari Bali Ni wanasiasa. Yaani daktari akakaa class 7+6+5 =18 PLUS akiamua kufanya speacilization Ni plus again 3-5years anakaa class. Chekeni wanasiasa wasiwaendeshe. Waambieni huku hatufanyi kazi kwa mdomo. Mie nachukia wanavyoingilia watalaamu utadhani udaktari Ni sawa na maтакооо kila mtu anayo. Alone advance nimechaguliwa kusoma pcb hup mziki wa pcb wake naujua nikakataa nikachenji to pcm. Mana huku Ni kanuni imetoka.
Binafsi I salute daktari. Mfano jana nimeenda haja kubwa haha haitoki dokta ujue. Inasumbua kinyama yaani mpaka nikawa nasikia Ilo eneo lote linashuka. Mpaka ngende zikaingia ndani. Nikachanika ndani ujue. Yaani niliteseka kinyama kiasi kwamba hata ningeambia toa bilioni utoe haja kawaida Kama ninayo natoa. Yaani Hakuna raha Kama kuwa na afya njema Ni utajiri mkubwa mno.
Kwanini unalazimisha shukirani??Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu Hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta.
Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakashazaa shukrani hamna
Mambo ni mengi mno