Mnaotaka kushusha heshima ya Daktari hamtaweza

Sina mood

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
248
Reaction score
1,442
Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV, maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta.

Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakishajifungua shukrani hamna.

Mambo ni mengi mno.
 
Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu Hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta.

Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakashazaa shukrani hamna

Mambo ni mengi mno
Ulilazimishwa kuwa daktari?
 
Usisahau hata njaa zako za ukoo zimekufanya usomee udaktari ili uokoe njaa katika ukoo.

Kwa hiyo hakuna kaz bora kuliko nyingne.
 
Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu Hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta.

Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakashazaa shukrani hamna

Mambo ni mengi mno
Mkuu tunawaheshimu mno . Sema wajinga wachache wakishakuwa vijisenti wanaanza kudharau wengine wanajiona kila wanaweza.ama wanaweza kutembea juu ya maji. Huku hawajui thamani ya kazi yenu. Udaktari Ni wito pamoja na ualimu mmeamua kusaidia kuokoa maisha yetu na sio kuwa mmeingia ili muwe matajiri Kaka/dada.
Bali Ni ule wito wa kuokoa maisha ama uhai wa watu.
Najua mnafanya kazi kwenye risk kubwa mno. Na ndio Mana Kuna wengine madaktari wanasepa Botswana ama wakiingia kanada wakaingizwa kwenye bodi yao wanaanza kufanya kazi huko wanathamini career za watu. Mana mfano huko kanada tu wanalipwa 75M tzs hapa Kenya tu wanapata 13M tzs mie nashangaa why Tanzania haithamini madaktari Bali Ni wanasiasa. Yaani daktari akakaa class 7+6+5 =18 PLUS akiamua kufanya speacilization Ni plus again 3-5years anakaa class. Chekeni wanasiasa wasiwaendeshe. Waambieni huku hatufanyi kazi kwa mdomo. Mie nachukia wanavyoingilia watalaamu utadhani udaktari Ni sawa na maтакооо kila mtu anayo. Alone advance nimechaguliwa kusoma pcb hup mziki wa pcb wake naujua nikakataa nikachenji to pcm. Mana huku Ni kanuni imetoka.
Binafsi I salute daktari. Mfano jana nimeenda haja kubwa haha haitoki dokta ujue. Inasumbua kinyama yaani mpaka nikawa nasikia Ilo eneo lote linashuka. Mpaka ngende zikaingia ndani. Nikachanika ndani ujue. Yaani niliteseka kinyama kiasi kwamba hata ningeambia toa bilioni utoe haja kawaida Kama ninayo natoa. Yaani Hakuna raha Kama kuwa na afya njema Ni utajiri mkubwa mno.
 
Tanzania vyeti feki wamesamehewa na kurudishwa kazini, kazi tunayo mwaka huu, I mean mtu aliyepasua PCB High school akaingia medicine akafuzu na kuwa daktari hata lugha yake ni tofauti, kwanza hata muda tu wa kujifunza matusi ya nguoni hauna nakumbuka sisi tulikuwa tunasoma usiku kucha wengine hata wanaweka miguu kwenye maji wasilale leo hii wengi wetu hata matusi hatujui kwa maana tulikuwa tunasoma, sasa huyu “daktari” sijui muda wa kujifunza matusi kaupatia wapi? anyway to each his own, …
 
Ulilazimishwa kuwa daktari?
Acha kuwavunja moyo bana. Angekuwa trafiki kesho angekuandikia. Heshimu taaluma za watu bana. Yaani daktari na mwalimu kwangu Ni heshima kubwa. Hebu waza bila ya hao watu ama wakulima ivi tungeishije. Nakuomba uyatoe maneno yako. Hivi hujawahi kuumwa ama kuuguliwa. Pia uelewe anachokusaidia haviendani na maalipo Ni sawa na wanajeshi wako tayari kufa ili uishi ulale kwenye neti huku upo na mpendwa wako unaturahia. Wajeda hawalipwi mshahara wanalipwa posho Mana huwezi lips mtu kwa kujitolea maisha yake kufa ili Taifa lake lipone.
 
Hakuna sehemu nimemvunja moyo. Tatizo analalamika kama vile alilazimishwa kuwa daktari.

Wajeda wa Tanzania wanalipwa mshahara pamoja na posho. Hivyo vitu vipo separate.
 
Mkuu tunawaheshimu mno . Sema wajinga wachache wakishakuwa vijisenti wanaanza kudharau wengine wanajiona kila wanaweza.ama wanaweza kutembea juu ya maji. Huku hawajui thamani ya kazi yenu. Udaktari Ni wito pamoja na ualimu mmeamua kusaidia kuokoa maisha yetu na sio kuwa mmeingia ili muwe matajiri Kaka/dada.
Bali Ni ule wito wa kuokoa maisha ama uhai wa watu.
Najua mnafanya kazi kwenye risk kubwa mno. Na ndio Mana Kuna wengine madaktari wanasepa Botswana ama wakiingia kanada wakaingizwa kwenye bodi yao wanaanza kufanya kazi huko wanathamini career za watu. Mana mfano huko kanada tu wanalipwa 75M tzs hapa Kenya tu wanapata 13M tzs mie nashangaa why Tanzania haithamini madaktari Bali Ni wanasiasa. Yaani daktari akakaa class 7+6+5 =18 PLUS akiamua kufanya speacilization Ni plus again 3-5years anakaa class. Chekeni wanasiasa wasiwaendeshe. Waambieni huku hatufanyi kazi kwa mdomo. Mie nachukia wanavyoingilia watalaamu utadhani udaktari Ni sawa na maтакооо kila mtu anayo. Alone advance nimechaguliwa kusoma pcb hup mziki wa pcb wake naujua nikakataa nikachenji to pcm. Mana huku Ni kanuni imetoka.
Binafsi I salute daktari. Mfano jana nimeenda haja kubwa haha haitoki dokta ujue. Inasumbua kinyama yaani mpaka nikawa nasikia Ilo eneo lote linashuka. Mpaka ngende zikaingia ndani. Nikachanika ndani ujue. Yaani niliteseka kinyama kiasi kwamba hata ningeambia toa bilioni utoe haja kawaida Kama ninayo natoa. Yaani Hakuna raha Kama kuwa na afya njema Ni utajiri mkubwa mno.
Sasa hata swala la kula matunda na kula parachichi ili upate nnya laini bila kujikakamuwa hili nalo mpaka uambiwe na daktari?
 
Daktari anaomba watu waugue ili apate hela,kazi ya kipuuzi kabisa. Bora kuuza aicream
 
Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu Hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta.

Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakashazaa shukrani hamna

Mambo ni mengi mno
Kwanini unalazimisha shukirani??
Hiyo ndio kazi ulio isomea na ulijua utashika mavi na kurukiwa na damu za kutosha ila kwasababu uliipenda ndio maana ulipoteza muda wako mwingi ukaisome, hivyo endelea kutimiza wajibu wako kijana.
 
Back
Top Bottom