Mnaotamani kuja Dar es salaam hii ndio dar yenyewe je! Mtaiweza?

I posti hiyo sandal yako Moja, huenda uka mpata lover kimazabe.
 
Kama nilikuona vile πŸ˜ƒπŸ˜€
 
Huko Dasilamu lazim siku moja nitakuja tuu ni ndoto yangu toka mdogo siku moja nifike Dasilamu na nitafikia kwa dada yangu kwa Mtogole
Utotoni nilikulia mkoa wa Lindi, nilikuwa naamini kuwa kila Mtanzania amewahi kwenda Dar. Siku nilipoanza kuishi Mbeya ndio nikaja kuona kumbe kuna Watanzania wengi sana hawajawahi hata kunusa harufu ya Dar
 
Kama nilikuona vile πŸ˜ƒπŸ˜€
Yaan acha Vin, nilikasirika ile siku, niliapa sipandi tena, na sijapanda mwaka wa 3 huu naziona tyuuh zikipishana kwa road, sitaki hata kuzigusa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unashangaa mwanaume wazungu wanatoka bila hata kulazimishwaa
 
Ukifika kazini ,shati limejikunja kama utumbo wa kuku.
 
Utotoni nilikulia mkoa wa Lindi, nilikuwa naamini kuwa kila Mtanzania amewahi kwenda Dar. Siku nilipoanza kuishi Mbeya ndio nikaja kuona kumbe kuna Watanzania wengi sana hawajawahi hata kunusa harufu ya Dar
Na ni ukweli kwamba asilimia kubwa ya watu walio mikoani wanatamani sana kufika Dar ni ndoto ya vijana kwa wazee wengi
 
Nishauza Ng'ombe sipandi huo ujingaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…