Mnaotamani kuja Dar es salaam hii ndio dar yenyewe je! Mtaiweza?

Pole sana
 
Umekuja lini Dar?
Kwa wale wakongwe wa Dar hali hiyo ipo kitambo tu.
Labda kama hujawahi kupanda UDA ya miaka ilee...au kama hujawahi ishi Mbagala ya miaka michache nyuma
 
Mpiga picha unakibali kurusha picha zetu?
 
Haha! Siku ya kwanza nimepanda mwendo kasi bwana, mlango ulibana begi kwa nje, nami nikashikilia kwa nguvu wakaufungua nikaweka beg langu ndani, nawaza ingelikuwa mkono au mguu ndo umebaki nje. Ajabu nilikuwa mgeni na vituo walikuwa hawatangazi, uzuri nilipata mwenyeji kama kwenye daladala.
 
Wanaume wa dar bana mtu anakugusa na hogo lake kwa daladala anakojoa kwa dk 1 fulish kabisa
 
Mwendokasi hapana kwa kwelii, aaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…