Vifaranga200
Senior Member
- Oct 28, 2022
- 163
- 177
Bora hata wewe ukinyimwa mashine utapenda Mpira?Oo kumbe ni halali unavyochunwa kiboya na yule manz...kumbe ndivyo ulivyo? So mada zako ndo sahihi mkuu?
Mashine na mpira bora ushabikie Mpira bro...mbususu na mkuyenge ni dangerous gameBora hata wewe ukinyimwa mashine utapenda Mpira?
Noo,ni kibaiskeli hicho.Baiskeli ni injinga... Baiskeli ndogo ni ikijinga...so MwakijingaMbeya ukizaliwa siku ya wajinga utaitwa Mwakijinga
Ahaa nimeelewa sasa.Noo,ni kibaiskeli hicho.Baiskeli ni injinga... Baiskeli ndogo ni ikijinga...so Mwakijinga
Wasamehe sana. Serikali yenyewe ndiyo hiyo hiwajali wananchi wake. Unategemea wao watakuwa na mwamko gani?Jamani haiwezekani kila saa trending news ni Yanga hujakaa vizuri Simba.
Huu sio uungwana.
Hapa najua matusi nje nje
Wewe mwenyewe hiki ulicholeta nini? Si hiyo hiyo Simba na YangaJamani haiwezekani kila saa trending news ni Yanga hujakaa vizuri Simba.
Huu sio uungwana.
Hapa najua matusi nje nje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi Kwa mara ya Kwanza naingia huku nlikuwa najua watakuwa wanajadiliana Ligi za maana,Timu za maana kumbe ni Simba na Yanga utazani watoto wa nursery
Sijui GENTAMYCINE ataniambia nini na Simba yake
Umemuona Mwaki Jay lakini ?ππ Kwan tumewashika?
π Ndio nani?Umemuona Mwaki Jay lakini ?
Mwenye Post naskia Ni ndugu yenu..... Dada 2(ye)Β² kaniambia.π Ndio nani?